Watu wa Kaskazini inabidi muungane kuwaokoa wenzenu Wamasai

Serikali yaawamu ya 6 IPO IMARA na kamwe haito yumba wala kuyumbishwa na maigizo ya wahuni wachache amabo wanakesha kuloga ili anguko la awamu hii litokee.
thubutu!! wataanguka wachawi wote lkn sio awamu hii ya 6.
 
WATANZANIA NI WAOGA[emoji35]
 
Ninyi mnaishabikia kila kitu cha hovyo cha ccm leo umekula muwa wa wapi?
 
kaskazini hatujawahi kuwa wajinga wa kuambiwa tufanye nini? tunajua haki na wajibu wetu kwa jamii zetu na pia serikali. Ngorongoro sio kwa manufaa ya kabila moja ila Taifa na urithi wa dunia. Kabila moja lisilostaarabika haliwezi fanya wana kaskazini tukawa wajinga. Tunajua mpango halali wa kuokoa Ngorongoro na tunaunga mkono juhudi halali za serikali. Kila pande iepushe matumizi ya nguvu na umwagaji damu. Masai waambiwe ukweli kuna watu wananufaika na umaskini wao. waende Handeni kwenye makazi yao bora na waache kunyonywa na walafi wachache. Hakuna tija kupingana na miango halali ya Taifa.
 
Nimeona Aljazira wametoa kwenye news hour hii ishu ya lolindondo sijuwi loliondo
 
Unajaribu kuigawa nchi. Nchi hii ni moja, hakuna rasilimali za wapi wala wapi, zote ni za nchi
 
Hawa watu wa mwendazake mbona wanapenda ukanda hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…