Watu wa Katiba Mpya siwaelewi wanaongea tu hakuna hatua wanachukua

Watu wa Katiba Mpya siwaelewi wanaongea tu hakuna hatua wanachukua

BIG THINKER

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
680
Reaction score
1,436
Kuna watu wanapiga kelele ya katiba mpya kila kukicha, lakini hawachukui hatua zozote. Wanajitokeza kwa kelele tu, na serikali inasikiliza bila kuchukua hatua yoyote.

Ningependa kuwaambia wale wanaopiga kelele za katiba mpya kila siku kuwa wanapaswa kuchukua hatua badala ya kuendelea kupiga kelele bila kufanya chochote.

Itakuwa bora zaidi kama watatumia sauti yao kuchukua hatua za kweli. Kuendelea kupiga kelele mitandaoni kila siku haitasaidia chochote.
 
Back
Top Bottom