Watu wa Kigoma naomba mnipokee mgeni wenu.

Watu wa Kigoma naomba mnipokee mgeni wenu.

Updates:

Nashukuru kwa muumba wa mbingu na ardhi kufika salama ndani ya ardhi ya Kgm... Na pia niwapongeze wale wote ambao walinikaribisha. Na mda huu nipo Kwamchaga.
Mkuu hatimaye umefika maana hii safari ilianza muda mrefu sana toka October!
 
naomba nikutume mkuu kuna kijiji kimoja kinaitwa mgombe kipo kasulu kuna mwanamke nilimzalisha hapo naomba kaniangalizie
 
naomba nikutume mkuu kuna kijiji kimoja kinaitwa mgombe kipo kasulu kuna mwanamke nilimzalisha hapo naomba kaniangalizie
Huko mkuu itakua mbali kidogo kulingana na majukumu.
 
Jisikie upo nyumbani ila kuna kaubaridi Fulani hivi
 
Watu wa Kigoma wameamua kunisaliti lakini Mungu anawaona.
 
Back
Top Bottom