Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ukabila...weee bwegeTulia bwege ww kama haikuhusu pita hivii..........
yani haw jamaa wanapendaga kujitenga sana ata huko vyuoni ni hivy hivyAcha ukabila wewe mfahamiane ili iweje
ayani haw jamaa wanapendaga kujitenga sana ata huko vyuoni ni hivy hivy
mkabila mkubwa wewe nyie ndio maana Nyerere aliwalaan kazi ubinafsi tuTulia bwege ww kama haikuhusu pita hivii..........
Kwani Kilimanjaro wanakaa watu wa kabira moja tu, bora angetaja jina la kabila hapo ningesema kweli huu ni ukabila, lakini kutaja mkoa sioni tatizo lolote, mbona kuna thread ilikuwa inazungumzia watu wa Moro.mkabila mkubwa wewe nyie ndio maana Nyerere aliwalaan kazi ubinafsi tu
Disgusting. Utakuwa shoga weweKanye kwanza ndiyo uje hapa
Nsaidie kumwambia huyo dogo wapi nimetaja kabila nimesema watu wa Kilimanjaro tuuKwani Kilimanjaro wanakaa watu wa kabira moja tu, bora angetaja jina la kabila hapo ningesema kweli huu ni ukabila, lakini kutaja mkoa sioni tatizo lolote, mbona kuna thread ilikuwa inazungumzia watu wa Moro.