Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,866
- 1,076
Msipende kuonesha kuwa mpo inferior, hata Kama lingekuwa Limeanzishwa Uzi wa kikabila, kwani Ni kosa la jinai, hata Kama kila kabila lingeanzisha Uzi wake hapa Jf kwani Jf Kungejaa?, kwani huku mtaani Kuna vikindi vingapi vya makabila?, mbona hamvitolei mapovu, Kuna vikundi vingi Sana, sasa likianzishwa kundi la Klm mnaweweseka, kwani mliambiwa humu watajadili makabila mengine, kwenye magroup ya whatsapp Kuna makundi mengi ya kikabila just for their stuffs, sasa iweje huku mtu Na akili zake anaanza Ku discourage wengine badala ya kuwapongeza Na wewe kwenda kuanzisha grup lenu.
Mna discourage makabila as if ninyi ndiye mliyeyaumba, Mungu aliyeyaumba yeye ndiye mwenye kujua, hata iweje hatuwezi kufanana.
Always think positive kuliko kuwa Na wivu wa kipumbavu.
Acheni huu Uzi Kama haukuhusu.