Jamaa Fulani Mjuaji
Senior Member
- Jul 25, 2020
- 155
- 278
Sikiliza wewe, ramani haiuzwi. Ukiona inauzwa basi huo ni mchoro tu kama mchoro mwingine.Watu wa Ramani walikua kila nikiuliza gharama za kunichorea Ramani ya Nyumba Kawaida tu wanasema laki 7 mara laki 9 sijui unapewa Ramani na nini gani mbwembwe kibao aiseee nilibembeleza kinoma jamaa mmoja anipe Ramani kwa laki 3 akagoma eti hailipi saivi namuonaga anasema anauza Ramani kwa laki 1 nilishangaa kinoma ila niliheshimu kazi yake
Kwamba jengo la Milioni 100 ulipe 15mil?Sikiliza wewe, ramani haiuzwi. Ukiona inauzwa basi huo ni mchoro tu kama mchoro mwingine.
Design kama design ya jengo, haiwezi kuwa chini ya 15% ya gharama ya jengo. Elewa hilo.
Siongelei ramani ndugu, naongelea βDesign ya jengoβ. Hapo kuna Architectural drawings, kuna structural drawings, at the very least!Kwamba jengo la Milioni 100 ulipe 15mil?
Kweli??? Sema inategemea na Nyumba! Za Mijengo yetu hii mingi hahitaji Msanifu Majengo Wala Nini?Siongelei ramani ndugu, naongelea βDesign ya jengoβ. Hapo kuna Architectural drawings, kuna structural drawings, at the very least!
Sasa unafahamu liability zinazobebwa na firm kwa hiyo kazi uliyompa? Likianguka likaua mtu kwa mfano, nani anaenda kuozea jela? Kweli Architect, Structural Engineer , wajipinde probably mwezi mzima kupata a working design, halafu uwape milioni 1, wamekuwa misukule wako?! Architect hadi anruhusiwa kuifanya hiyo kazi jua amesota miaka 7 katika mfumo, kuweni serious aisee..
Nyinyi endeleeni tu kununua ramani kama karanga barabarani, maana ndio mnachomudu, kila mtu ajikune anapofikia; ila hamtapata design ya jengo hata siku 1 kwa hiyo laki 3, hiyo ni michoro tu ya βArtistsβ; mnatania wazee
Huwa ni Laki 2 na nusu... Haizidi laki tatu Bwasheeeπ€£ππ€£Watu wa Ramani walikua kila nikiuliza gharama za kunichorea Ramani ya Nyumba Kawaida tu wanasema laki 7 mara laki 9 sijui unapewa Ramani na nini gani mbwembwe kibao aiseee nilibembeleza kinoma jamaa mmoja anipe Ramani kwa laki 3 akagoma eti hailipi saivi namuonaga anasema anauza Ramani kwa laki 1 nilishangaa kinoma ila niliheshimu kazi yake
Ndio nikasema, waendelee kujikuna wanapofikia, ila wasilete ujuaji kwenye fani za watu.Kweli??? Sema inategemea na Nyumba! Za Mijengo yetu hii mingi hahitaji Msanifu Majengo Wala Nini?
π subiri watashuka hadi 50000.. ramani laki saba unajenga pyramid kwani..?
Likianguka likaua ukiwa umelipwa kiasi kikubwa inakuwajeLikianguka likaua mtu kwa mfano, nani anaenda kuozea jela
Halafu ukiangalia zilizo nyingi ni Ctrl+C & Ctrl+VKweli??? Sema inategemea na Nyumba! Za Mijengo yetu hii mingi hahitaji Msanifu Majengo Wala Nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na washuke tu maana Ramani wanachomoa tu ila wanakaza[emoji23] subiri watashuka hadi 50000.. ramani laki saba unajenga pyramid kwani..?
Tuta Download za AINenda kasome ww.
[emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji23][emoji23][emoji23]Atauza mpka elf 20 ni suala la muda tu
Nyumba ya 3 Rooms ndio nilete na ma Engineer sijui kampuni kukagua kuwa Serious basi maana hao ma engineer tunaona wanajenga na mafundi hawa hawa aa mtaani kwanza yeye anakua hayupo anakusanya tu vijana wanajengaSikiliza wewe, ramani haiuzwi. Ukiona inauzwa basi huo ni mchoro tu kama mchoro mwingine.
Design kama design ya jengo, haiwezi kuwa chini ya 15% ya gharama ya jengo. Elewa hilo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa ni Laki 2 na nusu... Haizidi laki tatu Bwasheee[emoji1787][emoji23][emoji1787]