Watu wa kusini mwa Tanzania Lindi na Mtwara tukutane hapa tukumbusha maneno ambayo huwezi kuisikia sehemu yoyote zaidi ya kwetu

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Hii ni baadhi ya misamiati/maneno ambayo huwezi kuisikia mikoa mingine zaidi ya Lindi na Mtwara, me naanza na hii:-
Kudekelela
Kunyenga
Kunyeng'elesa
Mwandu
Nchonyo
Nang'ongo
Ming'oko
Kwapwapwasa
Mkomela
Chikandanga
Chinduri
Pitiku
Manda
Msambura

Nawe wa nyumbani ongezea ya kwako.
 
Write your reply...SASA we shombe shombe huku kusini nani alifika mpaka ukapatikana wewe dingi au bi mdashi au ulipatikana somalia ukalowea huko kusini
 
Nchonyo.= ***ma
Kunyata= sura mbaya
Niko chikundi hapa wakuu nimekimbia corona mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…