Watu wa kusini mwa Tanzania Lindi na Mtwara tukutane hapa tukumbusha maneno ambayo huwezi kuisikia sehemu yoyote zaidi ya kwetu

Ukiwa NTU wa Kilwa 'utabobea' Sana hizi samaki. KUBOBEA ni kitendo cha kula kitu mpaka kutosheka/kushiba. Nakuja Nyumbani wanangu wa Kipatimu,Kilwa Masoko,Kisiwani,Kivinje,Somanga,Nangurukuru,Njia nne n.k #Kusiniraha!

5/5
Sawa mkuu,,, nadhan ww ni wa Kilwa District
 
Mi mwenyewe ramadhani hii nataka nikamalizie nyumbani kivinje in shaa allah. Nna miaka takribani 5 sijaenda.
Ukiwa NTU wa Kilwa 'utabobea' Sana hizi samaki. KUBOBEA ni kitendo cha kula kitu mpaka kutosheka/kushiba. Nakuja Nyumbani wanangu wa Kipatimu,Kilwa Masoko,Kisiwani,Kivinje,Somanga,Nangurukuru,Njia nne n.k #Kusiniraha!

5/5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chingandanga
Makalati
Likavenga kunoga kula na litimba
 
Back
Top Bottom