Watu wa kusini mwa Tanzania Lindi na Mtwara tukutane hapa tukumbusha maneno ambayo huwezi kuisikia sehemu yoyote zaidi ya kwetu

Watu wa kusini mwa Tanzania Lindi na Mtwara tukutane hapa tukumbusha maneno ambayo huwezi kuisikia sehemu yoyote zaidi ya kwetu

Habari ndugu zangu wa kusini, mi sio mtu wa kusini ila nina ndugu yangu namtafuta nilielekezwa kwao ni lindi vijijini, kijiji kinaitwa mchinga namba 2, yeyote anayeishi huko au kupajua vizuri, msaada.
Kwanza fika mchinga kijijin ukiwa unatoka dar ni kama km25 kabla ya kufika lindi, ukifika hapo mchinga kuna kijiji kipo pembezoni mwa bahari hiyo ndo mchinga 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Likavenga
Kufupa
Hiii-yan sio mimi
Kumenya
Kutapia
Nguu

Ha ha haa based in Nach vumbi....nb mimi sio mkazi ila nimekuwepo sana huko kwenye msimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo pa hiiii umenikumbusha mbali.. Yaan uongeaji wa watu wa kusini hadi raha na hiki kilafudhi chetu..
Anyway ulikuwa kwenye msimu was korosho nn..?
 
Pale masasi BR bado inatamba?
Tuambieni maana ya:-
Kwani je?
Kubebesa,
Mnonji,
Baa!
Kwani jee..kiulizo..au inakuaje?
Kubebesa..kutongoza kama anavyofanya beberu.
Mnonji..ni Mlonge..majani yake yanatumika kama mboga ya mlenda.
Baa...ni mshangao
 
Hii ni baadhi ya misamiati/maneno ambayo huwezi kuisikia mikoa mingine zaidi ya Lindi na Mtwara, me naanza na hii:-
Kudekelela
Kunyenga
Kunyeng'elesa
Mwandu
Nchonyo
Nang'ongo
Ming'oko
Kwapwapwasa
Mkomela
Chikandanga
Chinduri
Pitiku
Manda
Msambura

Nawe wa nyumbani ongezea ya kwako.


Hiyo Nang'ongo ni kijiji au jimbo?
 
Jina huwa hakina tafsiri,lakini aghalabu unaweza kukuta jona lilitokana na jambo au kitu fulani,sijafahamu kama kuna sababu ya jina kwa hapo Nangurukuru.
Kwa msamiati wa kimakonde"Nangu"ni "Mimi" lakini wenyeji wa hilo eneo siyo wamakonde,ni WAMATUMBI na majirani zao WANGINDO.
Ooh nilitaka maana ya Hilo neno la huo mji..but thanks
 
Kwa wale walioondoka kusini miaka mingi nawakaribisha sana kusini,, pweza, ngisi, damdam,pono,tasi,mlimba,changu,kolekole,vibua,chaza,makalalu na samaki kama wote anapatikana huku..

Kusini kucheleeeeeeeeh...
 
Back
Top Bottom