ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Nkunya
Nanyumbu
Nanguruwe
Nangwanda
Samaki nchanga
Nanyumbu
Nanguruwe
Nangwanda
Samaki nchanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu hyo
Sawa mkuu,,, nadhan ww ni wa Kilwa DistrictUkiwa NTU wa Kilwa 'utabobea' Sana hizi samaki. KUBOBEA ni kitendo cha kula kitu mpaka kutosheka/kushiba. Nakuja Nyumbani wanangu wa Kipatimu,Kilwa Masoko,Kisiwani,Kivinje,Somanga,Nangurukuru,Njia nne n.k #Kusiniraha!
5/5
Nachingwea Moja hyo
Ukiwa NTU wa Kilwa 'utabobea' Sana hizi samaki. KUBOBEA ni kitendo cha kula kitu mpaka kutosheka/kushiba. Nakuja Nyumbani wanangu wa Kipatimu,Kilwa Masoko,Kisiwani,Kivinje,Somanga,Nangurukuru,Njia nne n.k #Kusiniraha!
5/5
Inategemea "ntu na ntu", samaki n"changa
Makalati kunong'aaChingandanga
Makalati
Likavenga kunoga kula na litimba
Makalati - ni design Fulani ya funza wanaopatikana juu ya mikorosho(kwenye matawi)Chingandanga
Makalati
Likavenga kunoga kula na litimba
Ahahahahaha nangu mene nkulukucho!!
Sawa bro. AsanteKama upo Dar, panda gari lolote linalokuja mikoa ya kusini then shuka Mchinga 1 hapo ulizia Mchinga 2 utafiks bila shida
Shukrani bro.
Asante ndugu kwa maelekezoKwanza fika mchinga kijijin ukiwa unatoka dar ni kama km25 kabla ya kufika lindi, ukifika hapo mchinga kuna kijiji kipo pembezoni mwa bahari hiyo ndo mchinga 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro mama yake huyo Mohamedi ni Tatu bint Seif na sio Asha