Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haaa toka bana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa mtu badala aimbe analia milio ya ajabu kana mbuzi unataka wafanyaje sasa. Acha majaji wafanye kazi yao.
Kwanini jamani[emoji16]serikali yetu haina mpngo mbdala wa kuzalisha wasanii .....nimeishia hapa
BaADa ya kwenda kujiunga na wale jamaaWalimwambia konde boi hana kipaji hao matokeo yake daimondi akawaumbua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haaa toka bana
Aaah! Kwa uimbaji ule wa "maraikaa" acheni hizo bwana. Yawezekana wao ndio walimsaidia akapambana na kupiga mazoezi zaidi.Walimwambia konde boi hana kipaji hao matokeo yake daimondi akawaumbua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umeambiwa ukalime nini huku wewe ulishajiwekea mziki ndio utakaokutoaHabari zenu wakuu,
Nimeamua Leo kuleta mada hii haswa mamlaka pigeni marufuku shindano la BSS kwa sababu hakuna anaestahili kuwa jaji pale na ndio maana pamoja na serikali yetu haina mpngo mbdala wa kuzalisha wasanii ila ndani ya nchi yetu kila mwenye pesa anaenda studio.
Hebu tuangalie nchi za wenzetu jinsi wanavyotafuta waimbaji hakuna jaji hata mmoja anaemwambia mshiriki una sauti mbaya ila hapa kwetu jaji anatamka wazi anakwambia huwezi kuimba sasa ukiangalia huyo jaji wenyewe hata chombo kimoja cha muziki hawezi piga
Tujaribu kuangalie wahindi wanapotafuta waimbaji wale majaji ni watu walioshiba.
Ni wasanii wakubwa hata ukiangalia nyimbo zao youtube utapata ushahidi kwa mfano jaji awe Himesh Reshmiya
Au Sonu Nigam
Au Udit Narayan
Au Kumar Sanu
Hapo ikitokea MTU ameshinda hawezi potea sasa hawa majaji wetu sasa Sijui wametokea kwenye kitengo gani kuhusu Sanaa au uimbji au kwakuwa maarufu hapa kwetu
Hauna hojaHujawahi kuamua hata mashindano ya komborela halafu unakosoa majaji wa BSS? Anzisha mashindano yako uwabembeleze washiriki.
Hivi na wao wanatumia lugha ya kistaarabu?Tatizo lililopo;
Anaejua hawezi kufanya,
Anaefanya hajui, basi shida tu.
La msingi ni kushauri watumie Lugha ya kistaarabu kusema wafutwe si sahihi.