Watu wa mamlaka ya sanaa pigeni marufuku Bongo Star Search

Wewe na akili yako unakaa unawasikiliza Wahindi? Bora nimsikilize Mwijaku kuliko kukusikiliza wewe msikiliza wahindi.

Wale wavuta bangi wa Arusha waambiwe tu kweli hawajui mziki wakatafute shughuli zingine za msingi za kufanya haina kuremba.

Mwisho sio jukumu la serikali kuzalisha wasanii hata huko nje sio jukumu la serikali hilo. Popote pale mwenye hela ya kuingia studio anaingia studio ndio maana leo hii unawasikia kina lil lil kibao wa US redioni ambao hata mizungu wenyewe hawaelewi wanasema nini.
 
Wapo waliosema hawana vipaji leo ndio wanatafuna pesa hao BSS wapo kukatisha ndoto za vijana kwa asilimia kubwa..
 

Uko mbele ndo wana majungu hatari, Muangalie Simon Cowel wa america got talent. Anatoa za chembe! salama akasome.
 
Labda ndio mbinu yao ya kupunguza msongamano

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Gayo tangu lini amekuw mtaalamu wa muziki
Hebu acha kuchekesha walionuna
Kuna msemo unasema hivi...
👇🏾
"No research No right to speak"

Kwa sisi waswahili tunao wetu huu...
👇🏾
"Usilolijua ni sawa na usiku wa giza"
 
Kuna mda ss wabongo hatuko serious achen tu majaji wawe wakali unakuta mshiriki amekuja kwenye stages kuchekesha tu nakujulikana unakuta amevaa hovyo haimbi kitu cha maana zaid ya matus au lugha yake s nzur kuna mda walikuja huku arusha ilikuwa n vituko tu
 
Sasa kama una sauti mbaya uambiwe ni nzuri!!
Sauti ni kama sura, hakuna sura mbaya wala sauti mbaya.

Sura unayoiona wewe ni mbaya, mwingine anaipapatikia jinsi nafsi yake inavyoridhishwa nayo.

Vile vile na sauti, usiyorishwa nayo wewe, kuna mwingine inamburudisha.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo yale mashindano ya wenye sura mbaya tulipigwa!!
 
AGT na The Voice ina majaji wastaarabu na wengine huwa mpaka wanalia kubembeleza washiriki.

Sasa niambie Tanzania na Marekani wapi wanatoka waimbaji bora?
Hatuwezi kulinganisha Marekani na Tanzania. Nchi yenye GDP kubwa (uwezo mkubwa wa kifedha) mambo mengi huwa mazuri- makocha , waalimu, music systems, studio za kurekodi na kadhalika. Pesa inawezesha mambo mengi sana. Ongeza budget ya Bongo star search utashangaa mambo yatakavyokuwa mazuri zaidi. Unapata kile ulichowekeza.
 
Hii bongo star search sijai ona mshindi hata mmoja aliyekuwa kwenye peak, nasikia pia wanazulumiwa sana
 
Judge Salama anainterfere sana na anadhani kuwa rude ni sifa mbona yule judge wa season iliyopita mwanamziki wa kikongo alikua mkali lakini hakua rude ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…