Watu wa mataifa mengine hasa Wachina kufanya biashara za umachinga ni kuua soko la wazawa

Ndio maana ya SOKO HURIA na UTANDAWAZI, maingiliano ya kibiashara, sijui kama watanzania hawapo China wakifanya biashara au wanakatazwa kufanya hivyo. Ukweli ni kwamba hiyo pia ni fursa, mtafute mchina kama huyo ushirikiane naye pengine ukatoka mapema, wapo wengi wameshirikiana na wachina na mambo yao yapo vyeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…