Martine Tibe
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 221
- 156
Nina miaka 27,kilo 65.3,uref ft 5 nafnya mazoez sana lkn sion mabadilik hasa kwenye tumbo . Nakosea wapi? Lishe au nn? (Ila sipndi kuwa na kifua kikubwa saana km daraja)Nimefika.
Mleta uzi lete stori
Unafanya mazoezi gani? Unakimbia? Unanyanyua weight au unafanya calisthenic?Nina miaka 27,kilo 65.3,uref ft 5 nafnya mazoez sana lkn sion mabadilik hasa kwenye tumbo . Nakosea wapi? Lishe au nn? (Ila sipndi kuwa na kifua kikubwa saana km daraja)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nanyanyua weight, nakimbia, na abd, sijawahi kufanya wiki sita mfululizo bla kuacha hta sik moja, ikizi ni kama wiki nafnya kila sik na najua nafnya labda kwa mwez mara 15 zaid, nakula sana wali na maharage, mfno nikila wali usiku asbh napga chai na ikibak napga mchna , usik labda matunda (mara mojamoja ila sana ugali na samak/nyama. Nakunywa maji sana . Na sio mpenzi kbsa wa vyakula vya kukaangwa. Ni Hilo mkuuUnafanya mazoezi gani? Unakimbia? Unanyanyua weight au unafanya calisthenic?
Mazoezi unayofanya, yapo katika mpangilio gani? Umewahi kufanya mazoezi wiki 6 bila kulega lega?
Kupumzika na kunywa maji kwako kukoje? Junk food mfano maandazi ya bakhresa, fursana, peach, apple punch, lays, burger, pizza n.k. unatumiaje?
Chief weight yako fanya kwa mtindo wa kujichallenge, mfano kama unanyanyua kilo 60 fanya hivyo kwa siku 3 kisha panda tena kwa siku 3 tena.Nanyanyua weight, nakimbia, na abd, sijawahi kufanya wiki sita mfululizo bla kuacha hta sik moja, ikizi ni kama wiki nafnya kila sik na najua nafnya labda kwa mwez mara 15 zaid, nakula sana wali na maharage, mfno nikila wali usiku asbh napga chai na ikibak napga mchna , usik labda matunda (mara mojamoja ila sana ugali na samak/nyama. Nakunywa maji sana . Na sio mpenzi kbsa wa vyakula vya kukaangwa. Ni Hilo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief weight yako fanya kwa mtindo wa kujichallenge, mfano kama unanyanyua kilo 60 fanya hivyo kwa siku 3 kisha panda tena kwa siku 3 tena.
Routine iwe hivyo kwa kila zoezi unalofanya hata hizo abs.
Pia kula, kunywa na pumzika. Kula sana ndizi.
Nanyanyua weight, nakimbia, na abd, sijawahi kufanya wiki sita mfululizo bla kuacha hta sik moja, ikizi ni kama wiki nafnya kila sik na najua nafnya labda kwa mwez mara 15 zaid, nakula sana wali na maharage, mfno nikila wali usiku asbh napga chai na ikibak napga mchna , usik labda matunda (mara mojamoja ila sana ugali na samak/nyama. Nakunywa maji sana . Na sio mpenzi kbsa wa vyakula vya kukaangwa. Ni Hilo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anaweza kukusaidia Castr
Ngoja Wanakujaa
Senior member hujui kama unaquote watu?Dodoma kuchele: Serikali ya viwanda inapiga kazi?
Hatimaye Serikali umeamua kufungua kiwanda kikubwa na cha kisasa cha kusindika mbogamboga maana sasa hivi akina mama wengi wanafunga mboga zao, Serikali imeamua kuboresha na kuandaa kiwanda kitakachoajiri watu 100,000 na kupewa mishahara ya laki 5. Hakika hakuna kiwanda kilichokufa vyote vipo...www.jamiiforums.com
Martine Tibe
Ngoja nikupe ushauri wa kitalaam.
Mazoezi yana nidhamu zake na kuna aina mbalimbali ya mazoezi kuendana na matakwa ya mfanyaji.
1. Kuna mazoezi ya kujenga misuli (muscles) kujenga mwili /body building
2. Kuna wanyanyua vitu vizito weight lifter hawa hujali uzito wa hayo mazoezi
3. Kuna ya kupunguza mwili/kukata mafuta.
Namba moja 1.
Hayo ya kujenga misuli yana kanuni zake.na kanuni moja ya kwanza ni ulaji wa chakula sahihi. Ya pili ufanyaji sahihi wa mazoezi. Routine.
Kama unataka kujenga na uone mabadiliko unatakiwa ule vyakula vya kuongeza nguvu na vya kujenga mwili(protein)
Then uwe na ratiba nzuri ya ufanyaji mazoezi husika.na pia ufanye kwa kufuata sets za zoezi husika kila Reps kadhaa (8-12) zinatengeneza set moja ya mazoezi.
Hivyo zingatia uzito sahihi wa dumbell au barbell. Au kama unatumia machine.
Unapaswa upate muda wa mapumziko usiopungua 8 hrs. Usitumie sana pombe,usiwe mtu wa mabinti sana/masturbation. Kula matunda,maziwa.nyama mbogamboga n.k
Train siku 5-6 kwa week.acha siku moja au mbili ya mwili kupumzika. Then njoo unambie kama hakuna mabadiliko.ntakuangalia ntakwambia nini tatizo. Mimi ni mtalaamu wa mambo hayo. Asante.
Nenda gym zinazoeleweka kutana na trainer mzuri. Unapaswa kufanya HIIT-High Intensity Interval Training.Nina miaka 27,kilo 65.3,uref ft 5 nafnya mazoez sana lkn sion mabadilik hasa kwenye tumbo . Nakosea wapi? Lishe au nn? (Ila sipndi kuwa na kifua kikubwa saana km daraja)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa mkuu nimekuelewa kabisa ... Mimi sitak nivimbe kifua saan(body building).nataka nibalance mwili Wang ila niwe mtu wa mazoez sanaMartine Tibe