Watu wa Mbeya, badala ya kujichubua na kuwa kama vishetani, kwa nini msitumie mafuta ya kujikinga na jua?

Watu wa Mbeya, badala ya kujichubua na kuwa kama vishetani, kwa nini msitumie mafuta ya kujikinga na jua?

Chief, umeniacha kidogo hapo, jua Dar lilivo kali kiasi kile kuliko mbeya then useme mionzi ya jua ukiwa mbeya ni mikali zaid? Baridi na ubichi wote wa mbeya na iringa na njombe afu useme dar kuna hali ya unyevu unyevu kuliko kusini?
dadavua mkuu
Dar kuna bahari mkuu.
 
Mademu waliojichubua ngozi huwa wanatoa harufu.
Case study mabarmed
 
Kujichubua ni kichekesho, sehemu za mwilini zinashindana kwa rangi, mara Pepsi, coka cola, fanta orange,nk.
 
Wanyaki wanapenda huo mchezo, sasa sijui wamekuwa inspired na nani hasa.
 
Kujichubua ni kichekesho, sehemu za mwilini zinashindana kwa rangi, mara Pepsi, coka cola, fanta orange,nk.
2F7B7AE3-BD86-4360-86BB-65EF1615E7C6.jpeg


Say no more
 
kwa mwenyeji wa mbeya hii ni fursa ya kuuza vipodozi vya kufanya skin lightening na whitening. serums, sabuni, lotions, tubes na tonic. Karibu dm nikuekekeze vipodozi vizuri na jinsi ya kuvitumia uwafanye dada zetu wa mbeya wang'arishe weusi wao au kuongeza weupe kwa haraka
 
Kwa sababu ya bahari. Miji kama Dar au Tanga, na hata Mwanza inakuwa na unyevu hewani mwingi kuliko sehemu kama Mbeya na Iringa. Na jua la Mbeya na Iringa huwa kali kwa sababu kuna kama kilomita moja na nusu ya atmophere(angahewa) hawana kwa kuwa kwao juu.

Ukiwa juu mionzi inakuwa mikali zaidi. Ndiyo maana unaonaga mapilot wakivaa ile miwani myeusi. Siyo urembo, ni kukinga macho na mionzi.

Sababu hizi mbili zinafanya jua huko kuwa kali sana. Kuna joto na kuna jua la kuchoma.
Mzee hapa unatupiga na GEOGRAPHY ya kolomije
 
Back
Top Bottom