Watu wa Mbeya msituharibie lugha yetu adhimu

Watu wa mbeya hiki Kiswahili chenu cha ajabu sana, sijui mlikitoa wapi.

Tuendage- badala ya Twende
Turudigi- Turudi
Tupikage- Tupike
Tuvaage- Tuvae
Agizaga- Agiza
Tuangaliage- Tuangalie
Tubusuniage- Tubusiane
Usalimiage- Usalimie
Hawa jamaa wamehatuingiza mkenge kila mahali hizi lugha zinatumikaga
 
Watu wa mbeya hiki Kiswahili chenu cha ajabu sana, sijui mlikitoa wapi.

Tuendage- badala ya Twende
Turudigi- Turudi
Tupikage- Tupike
Tuvaage- Tuvae
Agizaga- Agiza
Tuangaliage- Tuangalie
Tubusuniage- Tubusiane
Usalimiage- Usalimie
"Mimi mwenyewe umenishika hata ukinipigiepo simu lazima nitatumaiepo zaidi ya maneno matatu" tuko wengi hapo
 
Watu wa mbeya hiki Kiswahili chenu cha ajabu sana, sijui mlikitoa wapi.

Tuendage- badala ya Twende
Turudigi- Turudi
Tupikage- Tupike
Tuvaage- Tuvae
Agizaga- Agiza
Tuangaliage- Tuangalie
Tubusuniage- Tubusiane
Usalimiage- Usalimie
Kuna wimbo mmoja unaoimbwa kazana mwanangu tulimage tupate chakula
 
Watu wa mbeya hiki Kiswahili chenu cha ajabu sana, sijui mlikitoa wapi.

Tuendage- badala ya Twende
Turudigi- Turudi
Tupikage- Tupike
Tuvaage- Tuvae
Agizaga- Agiza
Tuangaliage- Tuangalie
Tubusuniage- Tubusiane
Usalimiage- Usalimie
Pitisheni tu kuwa hiki ni Kiswahili cha bara.

Watu ndio wanatengeneza lugha, lugha haiwatengenezi watu.

Ushawsikia WaCongo wakiongea Kiswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…