Anko Bantu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 832
- 1,034
Ngoja aje Bujibuji kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wamehatuingiza mkenge kila mahali hizi lugha zinatumikagaWatu wa mbeya hiki Kiswahili chenu cha ajabu sana, sijui mlikitoa wapi.
Tuendage- badala ya Twende
Turudigi- Turudi
Tupikage- Tupike
Tuvaage- Tuvae
Agizaga- Agiza
Tuangaliage- Tuangalie
Tubusuniage- Tubusiane
Usalimiage- Usalimie
HahahaFyakula sio fya kufiangalia tu ni kufila.
Niliwahi kuwa na demu wa Mbeya anaongea hivi hivi.Fyakula sio fya kufiangalia tu ni kufila.
"Mimi mwenyewe umenishika hata ukinipigiepo simu lazima nitatumaiepo zaidi ya maneno matatu" tuko wengi hapoWatu wa mbeya hiki Kiswahili chenu cha ajabu sana, sijui mlikitoa wapi.
Tuendage- badala ya Twende
Turudigi- Turudi
Tupikage- Tupike
Tuvaage- Tuvae
Agizaga- Agiza
Tuangaliage- Tuangalie
Tubusuniage- Tubusiane
Usalimiage- Usalimie
Nilikuwa nakula hivyo hivyo, kwani mimi nakula mtu sili lugha yake.Huyo si alikuwa anakukata sana stimu mkuu??
Ndio version hii hii mkuu, kukaanga kwao Ni kurost Na kurost Ni kukaanga...niamini!Hii sijawahi kuisikia mkuu, labda Wanyakyusa wa huko vijijini.
Ukiongea kama mwana siasa nakuelewa,Unafahamu kuna sehemu nyingi sana nchi hii nje ya Mbeya hivi vyote vinapatikana kwa wingi sana??
Ujumbe umekufikia🤣🤣🤣🤣
Kuna wimbo mmoja unaoimbwa kazana mwanangu tulimage tupate chakulaWatu wa mbeya hiki Kiswahili chenu cha ajabu sana, sijui mlikitoa wapi.
Tuendage- badala ya Twende
Turudigi- Turudi
Tupikage- Tupike
Tuvaage- Tuvae
Agizaga- Agiza
Tuangaliage- Tuangalie
Tubusuniage- Tubusiane
Usalimiage- Usalimie
Pitisheni tu kuwa hiki ni Kiswahili cha bara.Watu wa mbeya hiki Kiswahili chenu cha ajabu sana, sijui mlikitoa wapi.
Tuendage- badala ya Twende
Turudigi- Turudi
Tupikage- Tupike
Tuvaage- Tuvae
Agizaga- Agiza
Tuangaliage- Tuangalie
Tubusuniage- Tubusiane
Usalimiage- Usalimie