Watu wa MicroFinance wanaopiga simu kutafuta wateja, wanatoa wapi namba?

Mkuu hapo Flexicash ndo walionipigia na kunitumia msg kadhaa.
Walisema 80,000 nakopesheka🤣🤣
Si niwatafute tuu niwapige ela
Mimi nilikopa 50,000 nilibeti nikala nikawalipa 69,000.
Upumbavu wao wanaanza kudai siku ya 5 meseji nyingi kama umefanya ugaidi.
Mimi mwenyewe walinipigiaga simu, nikamwambia sina shida ya kukopa kwa sasa, siku nikiwa na shida nitakupa.

Kwenye kudai wasumbufu sana. Ukiwawakia wanakwambia meseji zinatumia na system.
 
Attachments

  • Screenshot_20241116-134037_Messages.jpg
    Screenshot_20241116-134037_Messages.jpg
    225.4 KB · Views: 6
Mimi nilikopa 50,000 nilibeti nikala nikawalipa 69,000.
Upumbavu wao wanaanza kudai siku ya 5 meseji nyingi kama umefanya ugaidi.
Mimi mwenyewe walinipigiaga simu, nikamwambia sina shida ya kukopa kwa sasa, siku nikiwa na shida nitakupa.

Kwenye kudai wasumbufu sana. Ukiwawakia wanakwambia meseji zinatumia na system.
mkuu wew ni mwaminifu😄😄
Mimi nilimjibu sihitaji mkopo, na ningekopa nisingelipa
 
Kama unallaa Guest House na Lodge ambazo zinaandika "vyumba vipo" jua ndipo wamepata namba zako
Naandikaga majina ya uongo na namba za uongo mkuu🤣
 
Back
Top Bottom