Mimi nilikopa 50,000 nilibeti nikala nikawalipa 69,000.
Upumbavu wao wanaanza kudai siku ya 5 meseji nyingi kama umefanya ugaidi.
Mimi mwenyewe walinipigiaga simu, nikamwambia sina shida ya kukopa kwa sasa, siku nikiwa na shida nitakupa.
Kwenye kudai wasumbufu sana. Ukiwawakia wanakwambia meseji zinatumia na system.