Hamuwez nyieHAYA SI MADHARAU HAYA? NDO MAANA MADEMU WENU WAKIJA BUSH KUSALIMIA WAZAZI TUNAWAKAMUA SANA.
We ndo unasemaa, c wanakuanga na njaa za mabandooHamuwez nyie
ukijibiwa naomba uni tag mkuuWatu wa nje ya nchi vp
Tuende wap
Mabando wakati vifurushi vya mwezi tunawaungiaWe ndo unasemaa, c wanakuanga na njaa za mabandoo
Hayaa Naitisha majina...wa mikoani come this way puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz unaititikia...
1.Wa Moro..!!!!
2. Dodoma.!!
3. Singida..!
4. Tabora!
5. Shinyanga
6. Geita
7. Mwanza
8. Tanga
9. Moshi
10. Arusha
11. Kilimanjaro
12. Manyara
13.Kigoma
14 Mara
15 Musoma
16 kagera
17Mbeya
18. Sumbawanga
19. Ruvuma
20 Mtwara
21 lindi
22. Songea
23. bagamoyo
Mingine Nimesahau
Cc Smart911
Na vichench vya chips kukuMabando wakati vifurushi vya mwezi tunawaungia