Watu wa Mikoani Forum

Watu wa Mikoani Forum

jamaa wana jipendelea sana wanaona kama dar ndo kila kitu. MTU ANAANDIKA KABISA "POSTA MABOMU YASIKIKA". HII TANZANIA INA POSTA NGAPI?
Nukuuu#
Jambazi akamatwa posta, wanafikiri wakisema posta mtu anajua ni dar
 
mimi nahitaji icho kitengo cha propaganda,lazima wajue uwepo wetu,kutoka songea town....swali la kizushi hivi noah zetu zinakuja lini???
 
Hayaa Naitisha majina...wa mikoani come this way puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz unaititikia...

1.Wa Moro..!!!!
2. Dodoma.!!
3. Singida..!
4. Tabora!
5. Shinyanga
6. Geita
7. Mwanza
8. Tanga
9. Moshi
10. Arusha
11. Kilimanjaro
12. Manyara
13.Kigoma
14 Mara
15 Musoma
16 kagera
17Mbeya
18. Sumbawanga
19. Ruvuma
20 Mtwara
21 lindi
22. Songea
23. bagamoyo

Mingine Nimesahau


Cc Smart911


nipo hapa Moshi town
 
Back
Top Bottom