Digo zee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 608
- 1,252
Habari za asubuhi wana jukwaa.
Niko kwenye harakati zangu za utafutaji wa mkate, ghafla inaingia meseji ambayo iko hapo kwenye picha niliyo ambatanisha kwenye hii post.
Ikanilazimu nipige simu kuwauliza ni wapi wamepata namba zangu ila majibu yao ni kuwa namba yangu wameipata kwa kuwa mimi ni mtumishi wa serikali.
Niliendelea kuwauliza, nahitaji kufahamu kwa kina zaidi jinsi mmepata namba zangu lakini walisisitiza kuwa namba wanajuwa wao jinsi walivyo ipata.
Naombeni mnijulishe, hivi hakuna namna za kufanya kuwawajibisha watu wa namna hii au taasisi za namna hii ???