Nafikiri mtu wa kwanza wa kuwasiliana naye kwenye suala kama hili ni Mtoa Huduma wako wa Mtandao wa simu ( Service Provider, SP), baada ya hapo ndipo unaweza ukajua nini hasa unatakiwa kufanya.Habari za asubuhi wana jukwaa.
Niko kwenye harakati zangu za utafutaji wa mkate, ghafla inaingia meseji ambayo iko hapo kwenye picha niliyo ambatanisha kwenye hii post.
Ikanilazimu nipige simu kuwauliza ni wapi wamepata namba zangu ila majibu yao ni kuwa namba yangu wameipata kwa kuwa mimi ni mtumishi wa serikali.
Niliendelea kuwauliza, nahitaji kufahamu kwa kina zaidi jinsi mmepata namba zangu lakini walisisitiza kuwa namba wanajuwa wao jinsi walivyo ipata.
Naombeni mnijulishe, hivi hakuna namna za kufanya kuwawajibisha watu wa namna hii au taasisi za namna hii ???
Nimekuelewa kiongozi, ngoja nifanye hivyoNafikiri mtu wa kwanza wa kuwasiliana naye kwenye suala kama hili ni Mtoa Huduma wako wa Mtandao wa simu ( Service Provider, SP), baada ya hapo ndipo unaweza ukajua nini hasa unatakiwa kufanya.
Lakini pia tambua kwamba Udukuzi ni tatizo halisi ambalo lipo.Picha uliyoambatanisha ipo wapi??
Ila mimi pia nahisi kuna namna namba zetu zinachukuliwa kutoka taasisi mbalimbali na watu wa biashara.
Mimi nashangaa kila nikiwa na mtoto mdogo msg za daycare haziishi. Kila siku wananiambia nimpeleke mtoto mara kituo hiki mara kituo kile na ni za karibu na nilipo sasa sijui wanajuaje mimi ni mteja wao mtarajiwaπππ
Picha uliyoambatanisha ipo wapi??
Ila mimi pia nahisi kuna namna namba zetu zinachukuliwa kutoka taasisi mbalimbali na watu wa biashara.
Mimi nashangaa kila nikiwa na mtoto mdogo msg za daycare haziishi. Kila siku wananiambia nimpeleke mtoto mara kituo hiki mara kituo kile na ni za karibu na nilipo sasa sijui wanajuaje mimi ni mteja wao mtarajiwaπππ
Hakuna taarifa ya Siri kwenye mitandao...wanatuenjoy tuYaani inashangaza sana, hili ni tatizo kubwa sana kwani ulinzi wa taarifa zetu binafsi unakuwa mashakani.
Wanatukosea sanaSahihi kiongozi, mbaya zaidi ni pale unapo wapigia uweze kufahamu walipo ipata namba yako. Wanakuwa na majibu ya mkato yenye kuudhi
Labda walikuona ukiwa mjamzito. wakakadilia baada ya mda fulani utajifungua ndio wakatafuta namba yako Sasa πππPicha uliyoambatanisha ipo wapi??
Ila mimi pia nahisi kuna namna namba zetu zinachukuliwa kutoka taasisi mbalimbali na watu wa biashara.
Mimi nashangaa kila nikiwa na mtoto mdogo msg za daycare haziishi. Kila siku wananiambia nimpeleke mtoto mara kituo hiki mara kituo kile na ni za karibu na nilipo sasa sijui wanajuaje mimi ni mteja wao mtarajiwaπππ
π€£π€£π€£ wee lipa deni la watu ulitaka kuwarusha sasa umepatkna hyo ipo kweny vpengele lazm unampo mkopesha mtu aliyo vurungwa na maisha n lazma uwe na taarfa zake zote moja wapo mawasiliano baina ya mkopeshaji na mkopaji au taass na mtu bnafs aliye kopaHabari za asubuhi wana jukwaa.
Niko kwenye harakati zangu za utafutaji wa mkate, ghafla inaingia meseji ambayo iko hapo kwenye picha niliyo ambatanisha kwenye hii post.
Ikanilazimu nipige simu kuwauliza ni wapi wamepata namba zangu ila majibu yao ni kuwa namba yangu wameipata kwa kuwa mimi ni mtumishi wa serikali.
Niliendelea kuwauliza, nahitaji kufahamu kwa kina zaidi jinsi mmepata namba zangu lakini walisisitiza kuwa namba wanajuwa wao jinsi walivyo ipata.
Naombeni mnijulishe, hivi hakuna namna za kufanya kuwawajibisha watu wa namna hii au taasisi za namna hii ???
Hawa nahisi wanachukua namba hospitali Au clinic. Maana huko ndio kuna taarifa zoteLabda walikuona ukiwa mjamzito. wakakadilia baada ya mda fulani utajifungua ndio wakatafuta namba yako Sasa πππ
Mkuu muwe mnasoma mnaelewa bas sawa?π€£π€£π€£ wee lipa deni la watu ulitaka kuwarusha sasa umepatkna hyo ipo kweny vpengele lazm unampo mkopesha mtu aliyo vurungwa na maisha n lazma uwe na taarfa zake zote moja wapo mawasiliano baina ya mkopeshaji na mkopaji au taass na mtu bnafs aliye kopa