Watu wa Mipango Miji, mandhari ya UDSM ni darasa tosha kwenu

nasrimgambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Posts
1,920
Reaction score
2,529
Watu wakitembelea UDSM wanashangaa jinsi mazingira yake yalivyo green, tree lined roads, lawns na gardens

Halafu wengi wanafikiri chuo cha UDSM kilijengwa na wakoloni ndio maana kipo hivyo, kumbe kilijengwa baada ya uhuru

Hii ina maana sisi Waafrika tuna uwezo wa kujenga na kuendeleza maeneo yenye mazingira mazuri.

Ila Kinachosikitisha, tumeshindwa kama jamii kujenga vitongoji vyetu kwa uzuri unaofanana na mazingira ya UDSM.

Hebu fikiria kama Goba, Madale, Kimara na maeneo mengine mengi ya Dar, yangekuwa na mandhari kama ya chuo cha UDSM, Dar ingeonekana ni mji mzuri kiasi gani

Yani wataalam wetu wa miji hawahitaji kwenda Ulaya kujifunza jinsi ya kujenga miji na makazi mazuri; UDSM peke yake inatosha kuwafundisha jinsi ya kufanya kazi yao
1781883144535.webp
 
Watu wakitembelea UDSM wanashangaa jinsi mazingira yake yalivyo green, tree lined roads, lawns na gardens

Halafu wengi wanafikiri chuo cha UDSM kilijengwa na wakoloni ndio maana kipo hivyo, kumbe kilijengwa baada ya uhuru

Hii ina maana sisi Waafrika tuna uwezo wa kujenga na kuendeleza maeneo yenye mazingira mazuri.

Ila Kinachosikitisha, tumeshindwa kama jamii kujenga vitongoji vyetu kwa uzuri unaofanana na mazingira ya UDSM.

Hebu fikiria kama Goba, Madale, Kimara na maeneo mengine mengi ya Dar, yangekuwa na mandhari kama ya chuo cha UDSM, Dar ingeonekana ni mji mzuri kiasi gani

Yani wataalam wetu wa miji hawahitaji kwenda Ulaya kujifunza jinsi ya kujenga miji na makazi mazuri; UDSM peke yake inatosha kuwafundisha jinsi ya kufanya kazi yaoView attachment 3611314
Hii picha ya long time sana. Naona gari zilizopo ni a miaka ya 1980s, kuna VW Combi, VW Beetle, Renault 16, Land Rover 109 short chasis, Peugoet 404 saloon etc. Those old good days.
 
Back
Top Bottom