Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi hawa hawa ?Kama mtu anazo taarifa kuhusu uhalifu flani huwa tunaelekezwa kila uchao kwamba utoe taarifa ktk kituo cha polisi kilicho karibu.
Ndiyo, hawahawa ambao wanajukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao.Polisi hawa hawa ?
Akina veronika hawana korodani mkuu.Kwa akil yako finyu kuna mtu anaweza kujitokeza eti mm ndio Veronica France ubinywe Korodan na kupotezwa kimya kimya
Wamuulize huyo dada Cyprian Musiba anayejiita Veronica France huko fb atuletee ushahidi wa hicho anachokisema kuhusu kifo cha bwana jiweKatika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali.
Hili kwangu ni jambo jipya lakini pia ni jambo zuri mno ambalo litawaamsha Whistle blowers waliojificha sasa kujitokeza kuisaidia nchi , lazima ijulikane kwamba , tukiachilia mbali hili la kifo cha Dr Magufuli , ukitaka kufichua mambo mengi machafu , hujuma , wizi na ubadhilifu kwenye nchi hii ni lazima hawa wanaoitwa watu wa mitandaoni watumike , hawa si watu wa mchezo na wana macho darubini inasubiri .
Sasa ngondo iko hapa , Je, watakaoamua kujitokeza kuisaidia nchi yao kama aliyoelekeza Mh Rais waripoti ofisi gani na wamuone nani , Je Usalama wao utalindwaje ?
Midhali ametoa wito huo natumai ataweka njia wazi aidha nadhani mahala salama pa kutoa taarifa ni katika ofisi yake... maana idara zingine uaminifu wake bado unatiliwa shakaKatika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali.