Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

Hakuna jipya kufa ni kufa mungu akitaka ufe unakufa

Na nyerere, Karume, Sokoine walikufaje?
 
Kwa akil yako finyu kuna mtu anaweza kujitokeza eti mm ndio Veronica France ubinywe Korodan na kupotezwa kimya kimya
 
Huyo ni musiba baada ya utawala kubadilika anaogopa kuchapisha ujinga ujinga wake kwenye magazeti hivyo kaamua kujificha mtandaoni kwa jina la kike
 
Ewe bi veronica kama kifo cha mwamba kilikuuma ungezikwa nae.ulishaambiwa alikua na tatizo la moyo,we bado unakomalia sumu imekua sumu.shubaamiti .,
 
Kwani Mh Rais SSH si taarifa hizi kazisikia mìtandaoni. Ushahidi wautolee humu humu mitandaoni ama hautaeleweka?

Uweze kutoa shutuma mitandaoni ila usiweze kuweka ushahidi mitandaoni. Hawa ni wa kupuuziwa tu. Yako mambo mengine mengi ya mitandaoni ambayo ni muhimu yafanyiwe kazi sio huu upuuzi usio na ushahidi.
 
Wamuulize huyo dada Cyprian Musiba anayejiita Veronica France huko fb atuletee ushahidi wa hicho anachokisema kuhusu kifo cha bwana jiwe
 
Kupambana na kina KIGOGO2014 serikali ijitahidi kutenda haki kwa raia.Kigogo aliundwa kwa ajili ya JIWE ambae alikuwa hagusiki kirahisi.
 
Midhali ametoa wito huo natumai ataweka njia wazi aidha nadhani mahala salama pa kutoa taarifa ni katika ofisi yake... maana idara zingine uaminifu wake bado unatiliwa shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…