Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

Nchi hii ni ngumu Sana

Wanamtandao hawajahi kushindwa kitu

2025 wanamtandao watamweka mtu wao na ikishindikana 2027 watufanyia vitu kama vilivyotokea kwa jiwe
 
Veronica franzi archiduke of chattle a.k.a
Nani vileeeeee?
Malagi mulaga ?
Nimeimisi ile id yake ya humu
Bwana musiba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yale makundi ya kugombea urais 2015 bado yaishi
 
Apuuzwe
 
Hapo anasubiriwa atokeze kichwa apokee lungu la kichwa hapohapo kwisha kazi๐Ÿ™Š!
Mama si unataka uhuru wa habari, kwa wabongo huo ndio uhuru wanaoutaka!
Tuhuma wanazovurumisha ni nzito sana I see bila kujali ni kweli au lah!
Kuepuka sintofahamu, ww mummy lenga mlemle mlimopita na mwalimu wako ambaye pia ni bosi wako!
Usikae ofisini sana, tutembelee na ututatulie kero zetu! Wala usiwe Joan walker au Vascasie da gamie๐Ÿ˜œ!
Tunakutegemea kama Iron lady wa wakati huu!
Mungu akubariki Mama Samia na serikali yetu yote na watz wote na nchi yetu yote!
 
Hapo anasubiriwa atokeze kichwa apokee lungu la kichwa hapohapo kwisha kazi๐Ÿ™Š!
Mama si unataka uhuru wa habari, kwa wabongo huo ndio uhuru wanaoutaka!
Tuhuma wanazovurumisha ni nzito sana I see bila kujali ni kweli au lah!
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Mpak dakika hii kigogo anaongoza kwa possession 80 shots on target 20 uku Veronica musiba yupo Hoi kapigwa spana ya kichwa hajui cha kufanya Kumu attack mama kwa kigezo cha legacy ya mwendazake
 
Mama anadhani ana akili kuliko watu wa mtandaoni hahahahaha atasubiiri sana kuwapata watu wa mtandaoni. Wao hata CAG ambaye yupo kwa mujibu wa Katiba wanamuona ni adui yao sasa wanataka kumuua itakuwa hao wa mtandaoni!? Mama aachane na watu wa mtandaoni au ataishia KUDEMKA TU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ