Ungesema inaapiga kazi. Ila tatizo kila kitu lazima mpate authetification kwa wazungu?Muda usio mrefu tutaongea lugha moja, kwa kifupi hapa duniani kama umefanya mahesabu yako na kujiridhisha kwamba unachokifanya kitaleta mafanikio, wewe fanya, jitume, jitoe ufahamu na kuwa kama chizi, ipo siku makelele yatawaisha na wataanza kuongea lugha yako.
Hii SGR ndio inaanza kung'oa nanga na tayari tunaona mahesabu yaavyokwenda, safi sana nchi yetu inapiga hatua kali sana.
Tungetegemea authentication yao hatungeijenga, maana wao walikua wa kwanza 'kutushauri' tusijenge SGR ila tuboreshe ile ya zamani waliyotuachia wao mababu zao wakoloni. Tukajitoa ufahamu na kuijenga, leo hii hao hao ndio wanaisifia na kusema yalikua maamuzi mazuri.Ungesema inaapiga kazi. Ila tatizo kila kitu lazima mpate authetification kwa wazungu?
Sijaona mahali Mzungu ameimwagia sifa SGR ya kenya hapo😆😆Hii article imekuwa published kwa Forbes two hours ago. Mzungu amemwaga sifa sufufu kwa Sgr yetu. Nakumbuka zamani kabla Sgr kukamilika wazungu walikuwa wanasema eti hii Sgr ni white elephant afadhali tungerekebisha meter gauge. Watanzania pia wakaanza kuimba huo wimbo wa white elephant. Hivi leo wazungu wamewageuka na kuanza kusifu SGR ya Kenya kama success story. Watu wa miwivu mpo?
Ad closed by
Stop seeing this adWhy this ad?
Seen this ad multiple times
Ad covered content
Not interested in this ad
Ad was inappropriate
We'll try not to show that ad again
Ad closed by
Jinga wewe kabisa .Malori hayawezi kuhimili ushindani wa SGR ndio unageuza story ndio itoshee kwa propaganda na chuki zako dhidi ya Kenya?"White elephant project", is the project that is too expensive to pay back, the one not viable economically.
SGR yenu haiwezi kuhimili ushindani wa biashara, lazima ibebwe na serikali.
"White elephant project", is the project that is too expensive to pay back, the one not viable economically.
SGR yenu haiwezi kuhimili ushindani wa biashara, lazima ibebwe na serikali.
Citizen TV again imapendwa kule Tz. Hapa hamna white elephant Kama ile Bagamoyo, SGR, na pipeline yenu...btw SGR yenu inaenda wapi na inahudumia kina Nani???"White elephant project", is the project that is too expensive to pay back, the one not viable economically.
SGR yenu haiwezi kuhimili ushindani wa biashara, lazima ibebwe na serikali.
There is nothing there, thats why an asking you quote a paragraphClick hio article usome. Wacha laziness.
Wewe ni miongoni mwa watu wapumbavu kuwahi kutokea hapa jamii forum, hata kuelewa kinacholalamikiwa na hao wenye malori pia ni ngumu, huna akili wewe.Jinga wewe kabisa .Malori hayawezi kuhimili ushindani wa SGR ndio unageuza story ndio itoshee kwa propaganda na chuki zako dhidi ya Kenya?
Umeclick hapo pahali wameandika "why china is building Africa?". Mimi nimeclick na inafungua. Pengine wewe unatumia simu ya kabambe. Anyway Forbes huwa haikubali kucopy na kupaste paragraph. Lakini inakubali kucopy link tu.There is nothing there, thats why an asking you quote a paragraph
Umeclick hapo pahali wameandika "why china is building Africa?". Mimi nimeclick na inafungua. Pengine wewe unatumia simu ya kabambe. Anyway Forbes huwa haikubali kucopy na kupaste paragraph. Lakini inakubali kucopy link tu.
Sawa good idea. Jamaa anatumia ile simu ya mulika mwizi. Wacha niscreen shot nisaidie ndugu yetu