Watu wa miwivu wanaosema SGR ya Kenya ni white elephant, wazungu wameshaanza kusifu SGR ya Kenya kwamba ni success story.

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Hii article imekuwa published kwa Forbes two hours ago. Mzungu amemwaga sifa sufufu kwa Sgr yetu. Nakumbuka zamani kabla Sgr kukamilika wazungu walikuwa wanasema eti hii Sgr ni white elephant afadhali tungerekebisha meter gauge. Watanzania pia wakaanza kuimba huo wimbo wa white elephant. Hivi leo wazungu wamewageuka na kuanza kusifu SGR ya Kenya kama success story. Watu wa miwivu mpo?

Ad closed by
Stop seeing this adWhy this ad?
Seen this ad multiple times
Ad covered content
Not interested in this ad
Ad was inappropriate
We'll try not to show that ad again
Ad closed by
 
Muda usio mrefu tutaongea lugha moja, kwa kifupi hapa duniani kama umefanya mahesabu yako na kujiridhisha kwamba unachokifanya kitaleta mafanikio, wewe fanya, jitume, jitoe ufahamu na kuwa kama chizi, ipo siku makelele yatawaisha na wataanza kuongea lugha yako.
Hii SGR ndio inaanza kung'oa nanga na tayari tunaona mahesabu yaavyokwenda, safi sana nchi yetu inapiga hatua kali sana.
 
Ungesema inaapiga kazi. Ila tatizo kila kitu lazima mpate authetification kwa wazungu?
 
Tungetegemea authentication yao hatungeijenga, maana wao walikua wa kwanza 'kutushauri' tusijenge SGR ila tuboreshe ile ya zamani waliyotuachia wao mababu zao wakoloni. Tukajitoa ufahamu na kuijenga, leo hii hao hao ndio wanaisifia na kusema yalikua maamuzi mazuri.
Yaani SGR haipigi kazi tu, ila inabadilisha Kenya, na sasa tupo kwenye hatua za majaribio kwenye safu ya Nairobi hadi Naivasha.
Hii lazima ikatize na kugusa bahari ya Atlantic, Kenya iwe kitovu kabisa.
Watu wanaojua kupiga mahesabu ya mbali, wakiona hii picha hapa wataelewa kwanini Kenya ndio ilyochaguliwa ukanda wote huu.

China-Belt-and-Road-Initiative-map.jpg
 
Hii article imekuwa published kwa Forbes two hours ago. Mzungu amemwaga sifa sufufu kwa Sgr yetu. Nakumbuka zamani kabla Sgr kukamilika wazungu walikuwa wanasema eti hii Sgr ni white elephant afadhali tungerekebisha meter gauge. Watanzania pia wakaanza kuimba huo wimbo wa white elephant. Hivi leo wazungu wamewageuka na kuanza kusifu SGR ya Kenya kama success story. Watu wa miwivu mpo?

Ad closed by
Stop seeing this adWhy this ad?
Seen this ad multiple times
Ad covered content
Not interested in this ad
Ad was inappropriate
We'll try not to show that ad again
Ad closed by
Sijaona mahali Mzungu ameimwagia sifa SGR ya kenya hapo😆😆
Hebu Quote tuone
 
"White elephant project", is the project that is too expensive to pay back, the one not viable economically.

SGR yenu haiwezi kuhimili ushindani wa biashara, lazima ibebwe na serikali.

Jinga wewe kabisa .Malori hayawezi kuhimili ushindani wa SGR ndio unageuza story ndio itoshee kwa propaganda na chuki zako dhidi ya Kenya?
 
Did you see the idiot running across the highway while there's a footbridge right next to him that apparently he just chose to completely ignore.
 
"White elephant project", is the project that is too expensive to pay back, the one not viable economically.

SGR yenu haiwezi kuhimili ushindani wa biashara, lazima ibebwe na serikali.

Kama Bagamoyo Port hivi. Anyway the whole of Danganyika is isa white farting Elephant
 
"White elephant project", is the project that is too expensive to pay back, the one not viable economically.

SGR yenu haiwezi kuhimili ushindani wa biashara, lazima ibebwe na serikali.

Citizen TV again imapendwa kule Tz. Hapa hamna white elephant Kama ile Bagamoyo, SGR, na pipeline yenu...btw SGR yenu inaenda wapi na inahudumia kina Nani???
 
Jinga wewe kabisa .Malori hayawezi kuhimili ushindani wa SGR ndio unageuza story ndio itoshee kwa propaganda na chuki zako dhidi ya Kenya?
Wewe ni miongoni mwa watu wapumbavu kuwahi kutokea hapa jamii forum, hata kuelewa kinacholalamikiwa na hao wenye malori pia ni ngumu, huna akili wewe.

Hao wenye malori wanachotaka ni kwamba, serikali isilazimishe kwamba mzigo wote toka bandarini lazima uchukuliwe na SGR, wanataka kuwe na " "free competition ", wenye mizigo waachwe kuchagua kama wanataka kutumia SGR au barabara.

Hili tatizo la kulazimisha mizigo yote kuchukuliwa na SGR limefika mpaka Bungeni, Mbunge wa Mvita amelipigia sana kelele. Nimekufuatilia unapojibu " comments " zako inaonekana hujiandai, au uelewa wako ni mdogo sana, Tafadhali jitahidi kufuatilia mambo ili ukuze ufahamu wako wa mambo mbalimbali.
 
There is nothing there, thats why an asking you quote a paragraph
Umeclick hapo pahali wameandika "why china is building Africa?". Mimi nimeclick na inafungua. Pengine wewe unatumia simu ya kabambe. Anyway Forbes huwa haikubali kucopy na kupaste paragraph. Lakini inakubali kucopy link tu.
 
Kwanini tu usiscreen shot ukamtumia.

Back
Top Bottom