Watu wa miwivu wanaosema SGR ya Kenya ni white elephant, wazungu wameshaanza kusifu SGR ya Kenya kwamba ni success story.

Hiyo hapo juuu ni udongo tu kuporomoka sababu ya mvua kubwa.

Lakini ile reli yenyu chakavu treni ilianguka fo fo fo kama maiti na reli mpya ikasonga kando .Hao Waturiki kweli wamewagonga WaTz kwenye ujenzi wa reli mbaya.
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Reli iko na kifafa
 
Let me try and simplify things for you
Sgr imeanza juzi na nikawaida ku make losses before iweze ku break even .Biashara yeyote ya aina hii lazima ifuate graph kama hii
View attachment 1213158
Hahahaha, kichwa chako kibovu wewe, sasa hapo katika hizo graph hasara ipo wapi?. Hata hujui kusoma graph za uchumi, tukiwaambia uwezo weno wa akili ni mdogo mnakataa.
 
Naona umebadili toka November Hadi December [emoji23][emoji23]
Unanikumbusha ule usemi wako wa ''andaa passport uje upande bullet train mwezi novemba. Haturuhusu IDs''
Mwezi November ndio mradi unakabidhiwa kwa Serikali, Magufuli anaufungua rasmi December.
 
KQ makes losses but brings in about 2% of kenyan GDP via tourism. I guess you also think public education should make a profit. some services are offered for public good not for profit.
So, why your government is struggling to Nationalize and complains that KQ is a burden to tax payers if it is contributing greatly to your economy?. How can a company which contributes immensely to the Economy be a burden to a Country.
 
What about you who decided to follow capitalism blindly and ended up to.
1)Tribalism
2)Corruption
3)Crime
4)Hunger
5)Extra judicial killings
6)Unemployment
7)Slums
8)Land owned by few people
9)Poverty
10)Economy owned by few people
11)...
 
Ukweli upi huo?
Wewe kipi umeandika kinachohusiana na mada?
Ukwel wauma...nina uhakika niki screenshot post zako katika huu uzi..si ajabu nitakuta hujaandika chochote cha kuhusiana na mada...
 
Lkn swala la albino linafinika hyo list yote kw kw u superstar
What about you who decided to follow capitalism blindly and ended up to.
1)Tribalism
2)Corruption
3)Crime
4)Hunger
5)Extra judicial killings
6)Unemployment
7)Slums
8)Land owned by few people
9)Poverty
10)Economy owned by few people
11)...
 

That's the fact, pax and goods are not enough to break even.
 

Nailed it bro.
 
Kama Bagamoyo Port hivi. Anyway the whole of Danganyika is isa white farting Elephant
Vip na Lamu port ,ni white elephant ijayo maana leo nimeona gazeti la East Africa kwamba mizigo ya Ethiopia imedrop mpaka O asilimia wanatumia za jibout na za Somalia, sasa lamu atakuwa mgeni wa Nani? ๐Ÿƒ
 
Hahahaha, kichwa chako kibovu wewe, sasa hapo katika hizo graph hasara ipo wapi?. Hata hujui kusoma graph za uchumi, tukiwaambia uwezo weno wa akili ni mdogo mnakataa.
You are very shallow in your thinking .
 
Vip na Lamu port ,ni white elephant ijayo maana leo nimeona gazeti la East Africa kwamba mizigo ya Ethiopia imedrop mpaka O asilimia wanatumia za jibout na za Somalia, sasa lamu atakuwa mgeni wa Nani? [emoji125]
Lete link ya hilo gazeti nihakikishe
 
Vipi kuhusu ya Tanzania?
"White elephant project", is the project that is too expensive to pay back, the one not viable economically.

SGR yenu haiwezi kuhimili ushindani wa biashara, lazima ibebwe na serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ