Watu wa miwivu wanaosema SGR ya Kenya ni white elephant, wazungu wameshaanza kusifu SGR ya Kenya kwamba ni success story.

Watu wa miwivu wanaosema SGR ya Kenya ni white elephant, wazungu wameshaanza kusifu SGR ya Kenya kwamba ni success story.

Hiyo hapo juuu ni udongo tu kuporomoka sababu ya mvua kubwa.

Lakini ile reli yenyu chakavu treni ilianguka fo fo fo kama maiti na reli mpya ikasonga kando .Hao Waturiki kweli wamewagonga WaTz kwenye ujenzi wa reli mbaya.
😂 😂 😂 Reli iko na kifafa
 
Let me try and simplify things for you
Sgr imeanza juzi na nikawaida ku make losses before iweze ku break even .Biashara yeyote ya aina hii lazima ifuate graph kama hii
View attachment 1213158
Hahahaha, kichwa chako kibovu wewe, sasa hapo katika hizo graph hasara ipo wapi?. Hata hujui kusoma graph za uchumi, tukiwaambia uwezo weno wa akili ni mdogo mnakataa.
 
Naona umebadili toka November Hadi December [emoji23][emoji23]
Unanikumbusha ule usemi wako wa ''andaa passport uje upande bullet train mwezi novemba. Haturuhusu IDs''
Mwezi November ndio mradi unakabidhiwa kwa Serikali, Magufuli anaufungua rasmi December.
 
KQ makes losses but brings in about 2% of kenyan GDP via tourism. I guess you also think public education should make a profit. some services are offered for public good not for profit.
So, why your government is struggling to Nationalize and complains that KQ is a burden to tax payers if it is contributing greatly to your economy?. How can a company which contributes immensely to the Economy be a burden to a Country.
 
That laziness is the reason they are still an LDC. Ujamaa mentality haijawaondoka majirani zetu kabisa. Sitting around believing that your problem is the problem of the whole society and someone somewhere will solve it at the end of the day. If he can't even click on a simple link to read the content what does that tell you? Lazy to the brim!!
What about you who decided to follow capitalism blindly and ended up to.
1)Tribalism
2)Corruption
3)Crime
4)Hunger
5)Extra judicial killings
6)Unemployment
7)Slums
8)Land owned by few people
9)Poverty
10)Economy owned by few people
11)...
 
Huu mpapasho sio poa [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20190922_101128_676.JPG
 
Ukweli upi huo?
Wewe kipi umeandika kinachohusiana na mada?
Ukwel wauma...nina uhakika niki screenshot post zako katika huu uzi..si ajabu nitakuta hujaandika chochote cha kuhusiana na mada...
 
Lkn swala la albino linafinika hyo list yote kw kw u superstar
What about you who decided to follow capitalism blindly and ended up to.
1)Tribalism
2)Corruption
3)Crime
4)Hunger
5)Extra judicial killings
6)Unemployment
7)Slums
8)Land owned by few people
9)Poverty
10)Economy owned by few people
11)...
 
Tony... Hili ndio tatizo lenu wakenya, ninyi hamjui nini mnataka katika miradi yenu. Hapa abazungumzia volume ya mizigo na abiria, lakini hazungimzii "Financial profits".

Tuambieni, lengo lenu ni kujaza mabehewa au kupata faida?. SGR ya Kenya haiwezi kutengeneza faida kama nauli wanayotoza itakua ni " market price", itajaza abiria na mizigo lakini pesa itakayopatikana haiwezi kurudisha gharama za ujenzi, kutokana na ujenzi wake kuwa ghali sana, hiyo ndio maana ya " White elephant project"

That's the fact, pax and goods are not enough to break even.
 
Stupid as usual, then why your government reported loss in the first year of operation?, why Chinese are operating for some years untill they get their money back, if it doesn't make profit where will they get their money from?. Why China decided not to fund the remaining section from Naivasha to Malaba?

Nailed it bro.
 
Kama Bagamoyo Port hivi. Anyway the whole of Danganyika is isa white farting Elephant
Vip na Lamu port ,ni white elephant ijayo maana leo nimeona gazeti la East Africa kwamba mizigo ya Ethiopia imedrop mpaka O asilimia wanatumia za jibout na za Somalia, sasa lamu atakuwa mgeni wa Nani? 🏃
 
Hahahaha, kichwa chako kibovu wewe, sasa hapo katika hizo graph hasara ipo wapi?. Hata hujui kusoma graph za uchumi, tukiwaambia uwezo weno wa akili ni mdogo mnakataa.
You are very shallow in your thinking .
 
Vip na Lamu port ,ni white elephant ijayo maana leo nimeona gazeti la East Africa kwamba mizigo ya Ethiopia imedrop mpaka O asilimia wanatumia za jibout na za Somalia, sasa lamu atakuwa mgeni wa Nani? [emoji125]
Lete link ya hilo gazeti nihakikishe
 
Vipi kuhusu ya Tanzania?
"White elephant project", is the project that is too expensive to pay back, the one not viable economically.

SGR yenu haiwezi kuhimili ushindani wa biashara, lazima ibebwe na serikali.
 
Back
Top Bottom