The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kama umejitosheleza si uwe mkoa kwanini mmege vya wenzenu?Atake asitake Chato itakuwa mkoa soon. Huwezi kuacha eneo la watu karibia milioni mbili kuwa mkoa, ni muhimu huduma za kijamii ziwe karibu. Kuna mikoa ina idadi ya watu chini ya milioni moja kama Katavi, Njombe na Lindi lakini mkoa mpya wa Chato utakuwa na idadi ya watu milioni mbili.
Atake asitake Chato itakuwa mkoa soon. Huwezi kuacha eneo la watu karibia milioni mbili kuwa mkoa, ni muhimu huduma za kijamii ziwe karibu. Kuna mikoa ina idadi ya watu chini ya milioni moja kama Katavi, Njombe na Lindi lakini mkoa mpya wa Chato utakuwa na idadi ya watu milioni mbili.
Hahahahaa! anaona pesa ya mboga itapungua.Prof anaogopa kumegwa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Hao watu milioni mbili unawatoa wapi. Population figure kwa Chato ni watu 365,127. Au unazungumzia mkoa wa Geita jombaa! Geita kama mkoa yenyewe bado kufikia hiyo milioni mbili. Geita kama mkoa ina idadi ya watu 1,739,530 kulingana na sensa ya mwaka 2012. Ushabiki mwingine muwe mnasoma basi kuuficha ujinga.Atake asitake Chato itakuwa mkoa soon. Huwezi kuacha eneo la watu karibia milioni mbili kuwa mkoa, ni muhimu huduma za kijamii ziwe karibu. Kuna mikoa ina idadi ya watu chini ya milioni moja kama Katavi, Njombe na Lindi lakini mkoa mpya wa Chato utakuwa na idadi ya watu milioni mbili.
Ni jumla ya wakazi wa mkoa mpya wa Chato kutoka wilaya za Chato, Biharamulo, Bukombe. wilaya tarajiwa ya Busanda, Ngara na kata za Kimwani,Ikuza na Nyakabango za wilaya ya Muleba pamoja na sehemu ya wilaya ya Kakonko iliyopo mkoa wa Kigoma.Hao watu milioni mbili unawatoa wapi. Population figure kwa Chato ni watu 365,127. Au unazungumzia mkoa wa Geita jombaa!
Hata akigoma kumegwa haina impact kuanzisha mkoa mpya wa Chato maana kwake wilaya ya Muleba wanamega kata tatu tu ambazo ni Ikuza, Kimwani na Nyakabango pekee.Tibaijuka anasema yeye kama mtu wa Muleba na watu wote wa Muleba hawataki Kumegwa na watu wa Chato.
Wanalalamika kwamba kwa nini wamegwe wao?
View attachment 2022603
Huu mkoa wa chato umekaa kikabila sanaHata akigoma kumegwa haina impact kuanzisha mkoa mpya wa Chato maana kwake wilaya ya Muleba wanamega kata tatu tu ambazo ni Ikuza, Kimwani na Nyakabango pekee.
Haujakaa kikabila kabisa ni mkoa ambao utakukuwa na makabila mengi mchanganyiko yaani wasukukuma, wajita, wakerewe, wasubi, wahangaza, waha, wahaya, wasumbwa, wazinza, walongo na makabila mengine madogo madogo.Huu mkoa wa chato umekaa kikabila sana
Hao watu milioni 2 wapo Chato au unajumlisha na watu wa Muleba na kokote kwingine kutakakomegwa ?Atake asitake Chato itakuwa mkoa soon. Huwezi kuacha eneo la watu karibia milioni mbili kuwa mkoa, ni muhimu huduma za kijamii ziwe karibu. Kuna mikoa ina idadi ya watu chini ya milioni moja kama Katavi, Njombe na Lindi lakini mkoa mpya wa Chato utakuwa na idadi ya watu milioni mbili.
Kutoka kwenye wilaya zitakazounda mkoa mpya.Hao watu milioni 2 wapo Chato au unajumlisha na watu wa Muleba na kokote kwingine kutakakomegwa ?
hii nchi ina mijitu mibinafsi sanaKama umejitosheleza si uwe mkoa kwanini mmege vya wenzenu?
Kwa kifupi WAHAYA hawataki upuuuzi wa kuitwa eti wanatoka Mkoa wa kipuuuzi na wa kishamba wa CHATO.Tibaijuka anasema yeye kama mtu wa Muleba na watu wote wa Muleba hawataki Kumegwa na watu wa Chato.
Wanalalamika kwamba kwa nini wamegwe wao?
View attachment 2022603