mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Eti kumuenzi alfa na omega aliye enda zakee.Si wasubiri hata 2050 watakua mkoa wana haraka ya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti kumuenzi alfa na omega aliye enda zakee.Si wasubiri hata 2050 watakua mkoa wana haraka ya nini?
Wao ni kufuata tuu mkumbo wa mwenda zake[emoji1787][emoji1787]Hao watu milioni mbili unawatoa wapi. Population figure kwa Chato ni watu 365,127. Au unazungumzia mkoa wa Geita jombaa! Geita kama mkoa yenyewe bado kufikia hiyo milioni mbili. Geita kama mkoa ina idadi ya watu 1,739,530 kulingana na sensa ya mwaka 2012. Ushabiki mwingine muwe mnasoma basi kuuficha ujinga.
Kutoka kwenye wilaya zitakazounda mkoa mpya.
ukabila ni kidonda kikubwa sana kwa watani zangu wahaya. hata yule askofu wa tundu lisu yule anayetumia watanzania kuomba misaada ya shule yake, ameongea hivihivi, anaona kabila la wahaya litamegwa. mbona wasukuma wapo kila mkoa lakini usukuma wao umebaki palepale? watu hadi wanakuwa maprofesa lakini ukabila upo palepale.Tibaijuka anasema yeye kama mtu wa Muleba na watu wote wa Muleba hawataki Kumegwa na watu wa Chato.
Wanalalamika kwamba kwa nini wamegwe wao?
View attachment 2022603