Hao watu milioni mbili unawatoa wapi. Population figure kwa Chato ni watu 365,127. Au unazungumzia mkoa wa Geita jombaa! Geita kama mkoa yenyewe bado kufikia hiyo milioni mbili. Geita kama mkoa ina idadi ya watu 1,739,530 kulingana na sensa ya mwaka 2012. Ushabiki mwingine muwe mnasoma basi kuuficha ujinga.