Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
Wakuu, Mganga wa jadi kazi yake kuponya magonjwa kwa kutumia dawa za mitishamba, hapo dhambi yatoka wapi? Dhambi ni pale mtu huyo anatumia mitishamba hiyo kuua au kufifisha mipango ya mtu mwingine. Ndio maana serikali huwa inatoa vibali vya watu hawa kufanya kazi,watu hawa hawana tofauti na madaktari kazi yao ni moja,kutibu watu. Watu wa mungu msiwe waoga,tembeleeni waganga wa jadi kuponya magonjwa yanayowakabiri.