Chale ni mbinu iliyobuniwa na mababu zetu ili kuingiza dawa kwenye damu, kama ilivyo sindano.Bible inakataza kupiga ramli pamoja na kupigwa chale
Kwahiyo mkuu chali na sind sindano inayoingiza chemical zenye sumu mwili kipi bora?Bible inakataza kupiga ramli pamoja na kupigwa chale
Waafrika ni wajinga sana na ni laana kukataa na kuikana asili yako.
kuna mama alifariki hivi hivi eti hataki kwenda kwa mfumu,duhWaafrika ni wajinga sana na ni laana kukataa na kuikana asili yako.
Mimi hadi niende hospital basi dawa za kienyeji ninazo zijua zimefeli ndo nitaenda kunywa hayo masumu tunayoambiwa ni dawa.
Unakataa vipi kutumia miti shamba halafu unakubali kutumia vidonge?
Sasa kama unaamini Mungu pekee anaponya kwanini usimuombe huyohuyo bila kwenda hospital?
Ujinga wenyewe ni kwa mtu anayekataa miti shamba kamatiba.
Unaambiwa chukua mlonge chemsha kunywa maji yake nusu kikombe utapona Homa na hata maralia hapo kuna dhambi gani?
Waosema waganga wa kienyeji ni wachawi kwani huko mahospitali hakuna uchawi?
Hivi Dr anayetoa mimba huyo siyo muuaji?
Wale wanaochoma watu sindano sa sumu kwenu si sawa tu?
Vivyo hivyo na waganga wa jadi wapo wauaji na waowapa dawa za magonjwa wateja wao au watu wasiowapenda!
Naunga mkono hoja.Wakuu, Mganga wa jadi kazi yake kuponya magonjwa kwa kutumia dawa za mitishamba, hapo dhambi yatoka wapi? Dhambi ni pale mtu huyo anatumia mitishamba hiyo kuua au kufifisha mipango ya mtu mwingine. Ndio maana serikali huwa inatoa vibali vya watu hawa kufanya kazi,watu hawa hawana tofauti na madaktari kazi yao ni moja,kutibu watu. Watu wa mungu msiwe waoga,tembeleeni waganga wa jadi kuponya magonjwa yanayowakabiri.
Manyanza njoo unitafsirie jina lake huyu.
Ogihonge ni ujifiche 😅?Nenda nyumbani ukajifiche
Kujificha au kujitengaOgihonge ni ujifiche 😅?
Aaanhaaa sawa!Kujificha au kujitenga