Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Plus mijitu inathamini chakula kuliko utu..mji wa *******Dar nayo ya hovyo tu
Jiji lote joto,jiji linanuka,wakazi wake hawaogi hawapigi mswaki full kunuka,foleni,ushoga,mvua ikinyesha shida,kuoneana wivu,vyakula vya ajabu nk.
Nikiona mtu ametoka mwanza,mbeya,arusha anakuja dar kutafuta maisha namshangaa sana.
Wakati mmejazana kibao,kigamboni,magomeni,mbagala,kinondoni,kariakoo,manzese,tandika mpaka mitaa mmeipa majina yenuWatu wa Unguja hatushobok na dar