Wakati mmejazana kibao,kigamboni,magomeni,mbagala,kinondoni,kariakoo,manzese,tandika mpaka mitaa mmeipa majina yenu
NyafwiliDar nayo ya hovyo tu
Jiji lote joto,jiji linanuka,wakazi wake hawaogi hawapigi mswaki full kunuka,foleni,ushoga,mvua ikinyesha shida,kuoneana wivu,vyakula vya ajabu nk.
Nikiona mtu ametoka mwanza,mbeya,arusha anakuja dar kutafuta maisha namshangaa sana.
Haiwezi kufikia Mwanza cause Mwanza inaopendezeshwa na Zika Victoria pia. Dodoma hakuna ziwa..Dar maisha rahisi sana ndio maana kila mtu anapakimbilia, Dar ukiwa mtafutaji hukosi hela kwa siku.
Jichange uende Dodoma, wali maharage 2,000 bila hata mboga za majani. Maeneo mengi hayana daladala kwahio lazima upande bajaji au boda 3,000-8,000 inategemea na unapoenda.
Arusha Mbeya na Mwanza ni majiji yaliyotakiwa yawe mazuri yenye kuvutia ila ndio hivyo siasa za kipumbavu zimeharibu hayo majiji.
Baada ya miaka 20 Dodoma inaenda kuwa jiji zuri lenye kuvutia kuliko majiji yaliyokuepo mwanzo.
Dar ni Jiji la hovyo sana, yani hapaeleweki kabisa.
Wewe ni msukuma idiot kuliko wote TanzaniaHaiwezi kufikia Mwanza cause Mwanza inaopendezeshwa na Zika Victoria pia. Dodoma hakuna ziwa..
Mwanza inaweza kuwa hata nchi huru na ikaenda vizuri sana
SawaWewe ni msukuma idiot kuliko wote Tanzania
Acha uongo nimeishi dar zaidi yA miaka 30 juzi nimeenda njombe nimeuziwa chakula Cha ajabu 4500Dar maisha rahisi sana ndio maana kila mtu anapakimbilia, Dar ukiwa mtafutaji hukosi hela kwa siku.
Jichange uende Dodoma, wali maharage 2,000 bila hata mboga za majani. Maeneo mengi hayana daladala kwahio lazima upande bajaji au boda 3,000-8,000 inategemea na unapoenda.
Arusha Mbeya na Mwanza ni majiji yaliyotakiwa yawe mazuri yenye kuvutia ila ndio hivyo siasa za kipumbavu zimeharibu hayo majiji.
Baada ya miaka 20 Dodoma inaenda kuwa jiji zuri lenye kuvutia kuliko majiji yaliyokuepo mwanzo.
Nairobi pia Haina ziwa Wala bahariHaiwezi kufikia Mwanza cause Mwanza inaopendezeshwa na Zika Victoria pia. Dodoma hakuna ziwa..
Mwanza inaweza kuwa hata nchi huru na ikaenda vizuri sana