Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mama ni meko tu.Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho. Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Adhabu ya kujipendekeza kwa mwendazakeHili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho. Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
mgwira kastaafu kisheria. sio kutolewa. uwe unafuatiliaMama ni meko tu.
Kamtoa mwanamke mwenzake mngwira anamuacha ali hapi
Inasemekana amestaafuInasikitisha unamtoa Mama Ngwila unawaacha akina Chalamila na Ally Happy.
Hamna namnaHili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani mnaogopa viboko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Minaona sawa tu, maana mmesogezewa comedian...[emoji1787][emoji1787]