Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Vilaza chadema walitaka atumbuliwe
Tuombee Mungu mama mwenye nyumba asipite humu kuona malalamiko yao. Unaweza shangaa kesho akaamka anatumbuliwa baada ya kusoma comments za hawa vilaza. Kumbuka yaliyo wafika kina Bashiru, Sabaya na wengineo..
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

So sad kwakweli
 
Huyu mjinga anaondoka huko mbeya ameacha crisis kubwa sana kwenye sekta ya usafili wa uma. Leo nadhani ni wiki sasa magari ya kubeba abilia yako kwenye mgomo, sipati picha wakazi wa mbeya wanapitia tabu ya namna gani.

ni mtu anayeongea sana lakini hana maamuzi isipokuwa yale yaliyotoka juu yake.
 
Ndio maisha msiogope haji kuwachapa viboko atamuogopa mama, huyu wa Mwanza sio yule Chalamila wa mwendazake.
Binafsi naona CHALAMILA KWA jiji la mwanza ni heavy kwake ,lingine CHALAMILA hana utulivu katika mahamuzi yake, so KWA jiji la mwanza ambalo linatemea uvuvi sijui Kama watawezana nae,Mara kumi angekaa Tabora then wa Tabora akawa mwanza
 
Mama ni meko tu.

Kamtoa mwanamke mwenzake mngwira anamuacha ali hapi
Ila kumbuka Samia juzi kawaambia Wazee wa Dar wasishangae akiteua Waziri toka Upinzani! Naona kama Mghirwa alikuwa anaongelewa hapa!
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Mwanza mtalia na kusaga meno
 
Mmeletewa atakaye endeleza legacy za baba yenu [emoji23]
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Huyu mjinga anaondoka huko mbeya ameacha crisis kubwa sana kwenye sekta ya usafili wa uma. Leo nadhani ni wiki sasa magari ya kubeba abilia yako kwenye mgomo, sipati picha wakazi wa mbeya wanapitia tabu ya namna gani.

ni mtu anayeongea sana lakini hana maamuzi isipokuwa yale yaliyotoka juu yake.

Jamaa jinga sana

Limeuvuruga mkoa wa mbeya umekuwa hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom