Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Hutaki kunywa pombe
 
Sisi wa Mwanza tunatakiwa tujiulize sana. Yaani katika watu zaidibya milioni 60, imeshindikana kumpata mtu mmoja mwenye hekima na akili iliyotulia kuwa mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Au kuna jambo linalomkera Mh. Rais ambalo lina uhusiano ja watu wa Mwanza?

Duh! Chalamila!!! Balaa kubwa.
 
Chalamila ni kiongozi mzuri sana. Anapenda vichekesho vya hapa na pale lakini siyo katili, siyo dhalimu, siyo muonevu na ni mchapakazi sana. Mii namuona ni RC mzuri sana
Mimi pia namkubali jamaa, ni mtu anayependa utani na kucheka muda wote, hachoshi kumsikiliza, sijui jiwe aliwalisha nini hawa wasaidizi wake, ukiacha Mpango, Mwinyi, Samia na Ndalichako, wengine wote walikuwa kama wehu.
 
Mwanza kupewa Chalamila ni jambo la kushukuru. Chalamila ni kiongoz ambaye unaweza unamfaham vizur endapo utakuwa na Shida lakin si Kwa kumfuatilia mitandaon.

By the way ni kawaida Kwa mtu aliyefanya vizuri Mbeya kupelekwa Mwanza. Iliwahi tokea Kwa Abbas Kandoro pia.
 
Pigania Katiba mpya na mfumo majimbo au wa wananchi kuchagua mkuu wao wa mkoa wenyewe. Vinginevyo kaeni kwa kutulia hadi aliyemteua atakapojisika kumuondoa.
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Tatizo lake ni nini? Ukisema nakutumia mzigo.
 
Walimpigia kura mwendazake, na alikuwa anawapendelea sana
Mwendazake alipora kura kila mahali. Habari ya kusema alipata kura nyingi Mwanza ilikuwa uwongo. Mwaka 2015, hakuna sehemu ambayo kulikuwa na wizi mkubwa na wazi wa kura kama Mwanza
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Attachments

  • 2735873-66dccf7ca2784de0891c2782e0188f0d.mp4
    14.3 MB
Back
Top Bottom