Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Mimi nimesikitika Sana kututolea Chalamila Mbeya sijui tumemkosea nini.

Ikumbukwe Mwanza kuna watu wapole kuwapelekea Chalamila ni kuwaonea ,alitakiwa abakie Mbeya kwa wale jeuri au aende Dar sasa huko Mwanza RC Chalamila atakosa wa kuwanyoosha
 
Ila mama nampenda bure, na muombea kwa Mungu ampe maisha marefu.
Wale wazee wa Legacy mmeletewa Legacy yenu mpambane nayo.
 
Kipenzi cha wanaCCM na mtunzaji wa LEGACY ya mwendazake, kaja hapo kuwa karibu na nyinyi wana Mwanza. Hongereni SANA, ndugu zangu tuzidi kumtegemea Mungu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Binafsi naona CHALAMILA KWA jiji la mwanza ni heavy kwake ,lingine CHALAMILA hana utulivu katika mahamuzi yake, so KWA jiji la mwanza ambalo linatemea uvuvi sijui Kama watawezana nae,Mara kumi angekaa Tabora then wa Tabora akawa mwanza
Hakuna kitu huko,awaweze watu jeuri na vibuli wa Mbeya ndio ashindwe kwa nyie washamba wa huko Mwanza? Mnamjua vizuri Chalamila au unamsikia kwa propaganda za aliowashikisha adabu wanalia lia kijinga tuu mitandaoni?
 
Mlazeni nje siku mbili ya tatu atarudi alikotoka bila kuaga - kazi hii kwenu mbona ni mdogo saana!!
Nimecheka kwa sautii.unamambo kweli wewe.ngoja tujalibu kumuundia kamati [emoji855][emoji855][emoji855]
 
Hakuna kitu huko,awaweze watu jeuri na vibuli wa Mbeya ndio ashindwe kwa nyie washamba wa huko Mwanza? Mnamjua vizuri Chalamila au unamsikia kwa propaganda za aliowashikisha adabu wanalia lia kijinga tuu mitandaoni?
Wenda ulikua na hoja nzuri , na Wala hapakua na sababu ya kutumia lugha kali ,sijui washamba so what, why kukurupuka hivyo Kama mwizi aliefukuzwa kwenye shamba la mahindi
 
Chalamila ni kiongozi mzuri sana. Anapenda vichekesho vya hapa na pale lakini siyo katili, siyo dhalimu, siyo muonevu na ni mchapakazi sana. Mii namuona ni RC mzuri sana
Wapumbavu Sana hao wanaopayuka humu ,ujue shida ya hao jamaa kawaminya maana kwenye kutetea haki haangalii umaarufu au jina la mtu.

Mimi binafsi nimesikitika kumtoa Mbeya kwa sababu kule kuna majizi hatari,mfano mdogo lile soko la mwanjelwa,sido kuna watu walipiga pesa akaanza kuwabana,imagine barabara ambazo zilijengwa chini ya mradi wa TSCP zote zimebomoka na chini ya miaka 6.

Ni awamu yake ndio sijasikia wizi sasa majizi yataanza kupiga pesa upya.Pili Mbeya kuna watu wenye kiburi na jeuri sasa mtu anaewafaa ni Chalamila,Hapi yaani mtu anakunanga bila kujali jina lako.

Akina Makala hao ni wezi na watu wenye njaa Sana
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Kwa mara ya kwanza mama ameniboa!

Mimi ni sapota mkubwa wa mama lakini watu wa Mwanza kuwaletea Chalamila sio fair kabisa. Huyu mtu hana hekima hata kidogo. Ni mropokaji na mkurupukaji mmoja hivi.

Mama kama unataka kuwa na legacy ya maana hebu achana na watu aina ya Chalamila!
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Dawa ya moto ni moto
 
Back
Top Bottom