Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Kuna nature ya kazi na ulikuwa unafanya nini before hili liko wazi sio kubishana ila kwa ishu ya mako kuna ukakasi
Hakuna ukakasi wowote mako ni mwanasiasa wa siku nyingi tu na ameshakuwa hadi mbunge wa East Africa.

BTW wacha ale nchi aisee hii nafasi hata ingekuwa mie na sina mchongo wa maana na nikateuliwa na Rais pia ni heshima kubwa.
 
Simuonei wivu acha ale tu maana mzee wao hakuwaachia kitu
 
Simuonei wivu acha ale tu maana mzee wao hakuwaachia kitu
Agreed, dingi yao alikuwa mkaksi sana aisee πŸ˜ƒ Yani isingekuwa shukrani na heshima za watanzania Hawa jamaa wangekuwa na maisha magumu sana maana yule mzee hakutaka hata wakae ikulu aliwatimua πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Yani wamechelewa sana kula pipi mzee alikuwa hataki hata kuwaachia nyumba nzuri alipostaafu akarudi kwenye nyumba yake ya matofali ya kuchoma mpaka walipomlazimisha apokee nyumba ya msasani na Ile makumbusho ambapo ndio at least ndugu wanapata kipato pale .
 
Yule mzee alikuwa muadilifu sana,pesa hazijifichi angekuwa amepiga tungejua tu duniani hakuna siri .wacha tu mako ake kiroho safi
 
Kilio chenu kimesikika
 
Mama amesikia kilio chenu....Chalamila mhuni yule. Tulitakiwa tuwe nawe mitaani huku tunafanya uchuuzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…