Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Hakuna ukakasi wowote mako ni mwanasiasa wa siku nyingi tu na ameshakuwa hadi mbunge wa East Africa.Kuna nature ya kazi na ulikuwa unafanya nini before hili liko wazi sio kubishana ila kwa ishu ya mako kuna ukakasi
BTW wacha ale nchi aisee hii nafasi hata ingekuwa mie na sina mchongo wa maana na nikateuliwa na Rais pia ni heshima kubwa.