watu wa nacte na mkopo

watu wa nacte na mkopo

saidry

Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
86
Reaction score
5
wadau mambo vp...jaman naomba kujua kwa hayo majina ya mkopo nnayoskia yametoka..kuna mtu yeyote alie-apply kwa nacte alepata mkopo????
 
wadau mambo vp...jaman naomba kujua kwa hayo majina ya mkopo nnayoskia yametoka..kuna mtu yeyote alie-apply kwa nacte alepata mkopo????

Mimi mwenyewe nimeomba kupitia nacte sijapata
 
Nmeckia ni kwaajili ya 4m six leaver tu mengine bado.
Source tbc1
 
daaaaah ngoja nigairishe mwaka...ctaweza kusoma..hali ya maisha ngumu xana nyumbani....daaaah serikali yetu ndo hv mmetutenga leo....tunashkuru sana...watanzania tuna uchungu xana...tukutane 2015...bora nife kuliko kuipa nafasi serikali yenye ubaguzi kiasi hk
 
Serikali haina ubaguzi,mimi mbona ni mtoto wa mkulima na nimepata. Things happen sometimes!
 
eti nimesikia wake waliotumia vyet vya diploma hawajapata mkopo. Ila mkopo n kwa 4m 6 tu. Hizi tetesi ni za weli
 
eti nimesikia wake waliotumia vyet vya diploma hawajapata mkopo. Ila mkopo n kwa 4m 6 tu. Hizi tetesi ni za kweli
 
Mie na diploma yangu ya science nimepata 5.8MILION kwa mwaka.
HESLB watamu sana, nitawapa kura ccm
 
daaaaah ngoja nigairishe mwaka...ctaweza kusoma..hali ya maisha ngumu xana nyumbani....daaaah serikali yetu ndo hv mmetutenga leo....tunashkuru sana...watanzania tuna uchungu xana...tukutane 2015...bora nife kuliko kuipa nafasi serikali yenye ubaguzi kiasi hk

pole sana kijana...

kwani wewe ni form 6 leaver ama una diploma ?
 
Mie na diploma yangu ya science nimepata 5.8MILION kwa mwaka.
HESLB watamu sana, nitawapa kura ccm

nilikua nataka kupata ukweli. Mana wengi ninaowafahamu ambao tulitumia nacte wamekosa ,hongesa sana
 
Mi nliomba kupitia nacte na mkopo mimepata sh mill 3.5 cz ya phamacy. Sayansi oyeeeeeeeeeeee. Hapana chezeiya. mliokosa mcjali haikuwa rizki.
 
sayansi kwanza, wengine baadae, kwani tuliosoma sayansi mziki tunaujua, HELSB iish milele, ada ML. 1.3 wamenipa ML. 1.28, na u pu mba vu mwingine, CCM oyeeeeee
 
Back
Top Bottom