Jamani kuna wa diploma za sayansi aliyekosa mkopo??
ndio aquaculture kaka sua pale lakini nimecheki nimekosa na coz ina priority 100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani kuna wa diploma za sayansi aliyekosa mkopo??
Mimi na mshikaji wangu tuliomba BBA kupitia nacte na mkopo tumepewa kama kawaida, tunamshukuru sana Mungu.wadau mambo vp...jaman naomba kujua kwa hayo majina ya mkopo nnayoskia yametoka..kuna mtu yeyote alie-apply kwa nacte alepata mkopo????
wadau mambo vp...jaman naomba kujua kwa hayo majina ya mkopo nnayoskia yametoka..kuna mtu yeyote alie-apply kwa nacte alepata mkopo????
wadau mambo vp...jaman naomba kujua kwa hayo majina ya mkopo nnayoskia yametoka..kuna mtu yeyote alie-apply kwa nacte alepata mkopo????
sayansi kwanza, wengine baadae, kwani tuliosoma sayansi mziki tunaujua, HELSB iish milele, ada ML. 1.3 wamenipa ML. 1.28, na u pu mba vu mwingine, CCM oyeeeeee
Mie na diploma yangu ya science nimepata 5.8MILION kwa mwaka.
HESLB watamu sana, nitawapa kura ccm
Unashabikia CCM sababu ya Mkopo!wakati ni haki yako,mimi kipindi nasoma 2006\2009!nilipata 100% sisi ndo tulifuta 40% ambayo ilikua Flat tuligoma ndo yakaletwa makundi hayo,Sishabakii CCM kwa mikopo inayobagua watoto wengi wa Masikini
Mi nliomba kupitia nacte na mkopo mimepata sh mill 3.5 cz ya phamacy. Sayansi oyeeeeeeeeeeee. Hapana chezeiya. mliokosa mcjali haikuwa rizki.