watu wa nacte na mkopo

watu wa nacte na mkopo

wadau mambo vp...jaman naomba kujua kwa hayo majina ya mkopo nnayoskia yametoka..kuna mtu yeyote alie-apply kwa nacte alepata mkopo????
Mimi na mshikaji wangu tuliomba BBA kupitia nacte na mkopo tumepewa kama kawaida, tunamshukuru sana Mungu.
 
dah kaka mi science kabisa nimechaguliwa aquatic environmental science and conservation ya udsm..na bado nimekosa mkopo..niliomba kupitia nacte
 
mimi ni diploma ya engineering afu nimekosa!yani darasa letu lote chali hakuna aliyepata
 
wadau mambo vp...jaman naomba kujua kwa hayo majina ya mkopo nnayoskia yametoka..kuna mtu yeyote alie-apply kwa nacte alepata mkopo????

ndiyo mimi nimepata mkopo nili apply kupitia nacte co md
 
sayansi kwanza, wengine baadae, kwani tuliosoma sayansi mziki tunaujua, HELSB iish milele, ada ML. 1.3 wamenipa ML. 1.28, na u pu mba vu mwingine, CCM oyeeeeee

WE NI WA KUPIMWA,SASA HAPO UNAFURAHIA NINI?KAMA ULICHOANDIKA NI KWELI IPO HIVI,
UMEPEWA 1.28
-TUITION FEE 1.3
JIBU NI - 0.02
i.e kiuhalisia ni kwamba hyo pesa uliyokopeshwa inapungua kwa 0.02ml(unatakiwa uitoe mfukoni mwako/unadaiwa)

WE NI MBURULA.
 
Unashabikia CCM sababu ya Mkopo!wakati ni haki yako,mimi kipindi nasoma 2006\2009!nilipata 100% sisi ndo tulifuta 40% ambayo ilikua Flat tuligoma ndo yakaletwa makundi hayo,Sishabakii CCM kwa mikopo inayobagua watoto wengi wa Masikini
 
mim niliomba kupitia nacte nimepata asilimia zote and now nipo hapa kcmc napiga shule tu...fresh sana heslb.
 
Mie na diploma yangu ya science nimepata 5.8MILION kwa mwaka.
HESLB watamu sana, nitawapa kura ccm

Naamini kila semester utakuwa unaondoka na sup za kutosha, kwani uwezo wako wa kufikiri ni finyu na pia una ubinafsi sana.Unajiangalia wewe tu.Wengine waliokosa unaona ni halali yao.Ina ipa CCM kwa aspect moja tu ya mkopo wa chuo.Una uzembe mkubwa wa kufikiri.Kupata mkopo si hisani ni halali yako.Akili yako inakutuma kuona huo mkopo ni asante ya CCM na wala hujui kama mkopo huo upo kisheria.Mimi nilipata mkopo asilimia 100 lakini hii haikunifanya nione kama asante.Funguka ubongo wako uweke huru.
 
Unashabikia CCM sababu ya Mkopo!wakati ni haki yako,mimi kipindi nasoma 2006\2009!nilipata 100% sisi ndo tulifuta 40% ambayo ilikua Flat tuligoma ndo yakaletwa makundi hayo,Sishabakii CCM kwa mikopo inayobagua watoto wengi wa Masikini

Nimemwelimisha huyo zezeta wa kushabikia mkopo akidhani kuwa ni asante.Mimi pia nilipata asilimia 100 lakini hii hainifanyi niote ndoto kuona kuwa ni zawadi.na nimemaliza safari hii.Huyo kijana ana mtindio wa ubongo.atakuwa anacheza na sup kila semester.Watoto kama hawa ndio wanaolala na kuwaza hisani ya mwalimu.
 
sayansi kwanza, wengine baadae, kwani tuliosoma sayansi mziki tunaujua, HELSB iish milele, ada ML. 1.3 wamenipa ML. 1.28, na u pu mba vu mwingine, CCM oyeeeeee

mbona watu kibao wa sayansi wamekosa??
 
Mkopo ni wa wote kwanza hamna k2 kigumu chini ya jua kwa wale wanaosema sayansi ngumu ni wanaupungufu wa fikra!
 
Mi nliomba kupitia nacte na mkopo mimepata sh mill 3.5 cz ya phamacy. Sayansi oyeeeeeeeeeeee. Hapana chezeiya. mliokosa mcjali haikuwa rizki.

vipi we uliangaliaje? Ulitumia namba ya diploma au?
 
Back
Top Bottom