wadau mambo vp...jaman naomba kujua kwa hayo majina ya mkopo nnayoskia yametoka..kuna mtu yeyote alie-apply kwa nacte alepata mkopo????
wadau mambo vp...jaman naomba kujua kwa hayo majina ya mkopo nnayoskia yametoka..kuna mtu yeyote alie-apply kwa nacte alepata mkopo????
eti nimesikia wake waliotumia vyet vya diploma hawajapata mkopo. Ila mkopo n kwa 4m 6 tu. Hizi tetesi ni za kweli
daaaaah ngoja nigairishe mwaka...ctaweza kusoma..hali ya maisha ngumu xana nyumbani....daaaah serikali yetu ndo hv mmetutenga leo....tunashkuru sana...watanzania tuna uchungu xana...tukutane 2015...bora nife kuliko kuipa nafasi serikali yenye ubaguzi kiasi hk
Mie na diploma yangu ya science nimepata 5.8MILION kwa mwaka.
HESLB watamu sana, nitawapa kura ccm
Mie na diploma yangu ya science nimepata 5.8MILION kwa mwaka.
HESLB watamu sana, nitawapa kura ccm
Mi nliomba kupitia nacte na mkopo mimepata sh mill 3.5 cz ya phamacy. Sayansi oyeeeeeeeeeeee. Hapana chezeiya. mliokosa mcjali haikuwa rizki.