Watu wa Ovyo Ovyo Tukutane Hapa.

Watu wa Ovyo Ovyo Tukutane Hapa.

Sasa chama gani tukiunge mkoni? maana Chadema wanapata ruzuku ya zaidi ya bilioni 3 kwa mwaka lakini hawezi hata kujenga choo kwenye makao makuu ya chama chao.
Tanzania
vyama vyote ni vya wahuni
 
Fanya hivi kuna mikoa 30 Tanzania. Chadema wanapata 300m kwa mwezi maana yake ni milioni kumi kwa mwezi. Mikoa mingi ina wilaya tano. Kila wilaya ni kama 2m kwa mwezi. 2m itajenga ofisi? Umewahi kufikiria misgahara ya watendaji wa wilaya? Magari pikipiki je? Tumia akili kidogo na hesabu za darasa la tatu tukupe nafasi ya kuongoza utujengee ofisi kwa 2m.
Sasa chama gani tukiunge mkoni? maana Chadema wanapata ruzuku ya zaidi ya bilioni 3 kwa mwaka lakini hawezi hata kujenga choo kwenye makao makuu ya chama chao.

Sent using Intellectual Skills
 
Back
Top Bottom