Watu wa PSU huyo Bodyguard wa Kike wa Mama apunguze Unene na kuwa na Sura ya Kukasirika mno

Ninakunukuu:

Mheshimiwa Rais Samia alikuwa akipokea Maelekezo kutoka kwa CEO wa Simba SC Imani Kajula.

Majibu:

Raisi hawezi kupokea maelekezo kutoka Kwa takataka yeyote kutoka Simba au popote pale ndani ya Tanzania
 
Genta nifate inbox tunaandaa mkeka mpya wa ma DC
Sihitaji Cheo chochote kile Serikalini kwani Cheo nilichonacho kama Mfalme ( King ) hapa JamiiForums kinanitosha.

Labda nije huko inbox ili uniambie kuwa una hamu Nikubandue kwani Unanipenda sana GENTAMYCINE kuliko hata unavyompenda Mumeo au 'Anayekunyabenga' Unyabengani mwako.
 
Ninakunukuu:

Mheshimiwa Rais Samia alikuwa akipokea Maelekezo kutoka kwa CEO wa Simba SC Imani Kajula.

Majibu:

Raisi hawezi kupokea maelekezo kutoka Kwa takataka yeyote kutoka Simba au popote pale ndani ya Tanzania
Rubbish.
 
Punguza ujuaji, nani kakwambia yule ni mlinzi wa Rais!? Haya mambo yako nje ya uwezo wako. Ulinzi wa Rais ni mkubwa zaidi ya unavyofikiri na wala haumtegemei msaidizi wake japo naye anahusika kwa kiasi.
 
Rubbish and Nonsensical.
 
We mbwa mbona unamatusi hivi. Unamtukanaje Mtwa mkuu kiongozi wa walambwa wote jamii forum unapata wapi hayo madaraka mlevi mmoja wewe
 
Mods msimpige Ban huyu jamaa matusi ni rugha yake ya heshima
Kama ambavyo wanawaacha wale Wote wanaonitukana, wanaonishambulia, wanaonidhihaki na wanaonidhalilisha Kutwa hapa ni kweli wasinipige hiyo BAN ili niwaonyoosheni vizuri hadi mnyooke Wanafiki na Majuha nyie.
 
We mbwa mbona unamatusi hivi. Unamtukanaje Mtwa mkuu kiongozi wa walambwa wote jamii forum unapata wapi hayo madaraka mlevi mmoja wewe
Kama Mimi GENTAMYCINE unaniita MBWA hata na Mama yako nae ni MBWA vile vile.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ’―πŸ’―πŸ’―
 
Mahakama Mbeya yatupilia mbali kesi ya Bandari walalamikaji kukata rufaa​

Humphery Mgonja
BBC Field Producer

BBCCopyright: BBC
Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai.
Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na walalamikaji wanne ambao walidai mkataba huo unaenda kinyume na matakwa ya Katiba.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Dastan Ndunguru amesema baada ya jopo la majaji wa tatu kusikiliza pande zote mbili mahakama imeamua kuwa hoja zote sita hazina mashiko hivyo kuamua kuwa Mkataba wa IGA hauna dosari za kufanya usitekelezwe.
 
Duuh we kokoo aiseee
 
Mkuu kama wewe una muona Genta ni exceptional humu sijui wewe unajichukuliaje, au wewe ni moja ya wale mnaotamani muwe na wazazi ambao ni jirani zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…